yametoka sasa mlikua mnayataka tuambieni mmpata dv gan?

yametoka sasa mlikua mnayataka tuambieni mmpata dv gan?

sanycide

New Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
1
Reaction score
0
mmeyasubiri kwa hamu tayari wamewaleteeni tuambien ufaulu wenu
 
kwa ujumla mi naona hali zao ni mbaya, Necta nao wametuanzishia utaratibu wa kuweka namba zao da inakuwa ngumu kuwaona hata unaowafahamu, anyway nadhani watakuja hapa kuhitaji msaada wa kimawazo!
 
Back
Top Bottom