Yamkini hali si shwari Pemba, Askofu asema nyumba zapigwa 'X'

NI wangapi wa chedema ametendwa hawaja kamatwa yeyote hadi leo, huyu IGP ajitathmini
 
Sasa CCM inahusikaje ? Kwa nini hautaji vyama kama ACT na Chadema kutokana na kauli za wagombea wao au viongozi wao ?
Kwa sababu CCM ndio wanajulikana kwa kuratibu fujo na kueneza chuki na ubaguzi.
 
Sasa CCM inahusikaje ? Kwa nini hautaji vyama kama ACT na Chadema kutokana na kauli za wagombea wao au viongozi wao ?
Unaishi Tanzania?Hujasikia makada wa CCM wanampiga nawe Lissu kwenye misafara yake?Hujasikia huko Zanzibar wagombea wote wa ubunge wa ACT wameenguliwa?Hujasikia vijana wa CCM wanavamia ofisi za Chadema na kuchana mabango ya chadema na kubandika ya CCM?Hukusikia huko Lindi wagombea wa ACT kutekwa na kupigwa mapanga?Hujasikia majimboni huko CCM inalazimisha wagombea wake kupita bila kupingwa?


Unaishi Tanzania hii hii?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…