tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
- Thread starter
-
- #21
sio lazima niwe mimi naweza kumwakilisha mwingine aishie uko mimi niko masaki kweli ila sikai sana tanzania uwa mda mwingi nipo londonNa nyie matajiri mnasumbuliwa na kelele za uswahilini? Mi nilidhani unaishi Masaki mkuu.
Ila jamani tuongee ukweli,hawa madogo wana vipaji! Kinachotakiwa wawe chini ya uangalizi wa wazazi na jamii wasije jiingiza kwenye tabia mbaya, vinginevyo wanaweza iletea heshima nchi yetu kama diamond ...
kina sehem mitaa ya bon em bar temeke mikoroshiniwapi huko?
Ila jamani tuongee ukweli,hawa madogo wana vipaji! Kinachotakiwa wawe chini ya uangalizi wa wazazi na jamii wasije jiingiza kwenye tabia mbaya, vinginevyo wanaweza iletea heshima nchi yetu kama diamond ...
mnapata show ya bure mnasema kero?
Hehehe dear great thinker, unajua maana ya "unaweza kuta" au kwa ufasha zaidi "unaweza kukuta"? Take it easy dude.acha hizo wewe, wanakunywa chai kila siku?? mbona hata Ray C na liyumba walikunywa chai ikulu, wako wapi sasa
tusiwape mibichwa wale madogo
if we want them to stop, it can be done... wananchi wana mfumo wa kuwafanya waseme hapana