Yamoto band mnakera sana

Yamoto band mnakera sana

Na nyie matajiri mnasumbuliwa na kelele za uswahilini? Mi nilidhani unaishi Masaki mkuu.
sio lazima niwe mimi naweza kumwakilisha mwingine aishie uko mimi niko masaki kweli ila sikai sana tanzania uwa mda mwingi nipo london
 
Ila jamani tuongee ukweli,hawa madogo wana vipaji! Kinachotakiwa wawe chini ya uangalizi wa wazazi na jamii wasije jiingiza kwenye tabia mbaya, vinginevyo wanaweza iletea heshima nchi yetu kama diamond ...

Wakuwekwa chini ya uangalizi wa wazazi ni nani Aslay au mwingine!! mweeeh wakati wameshakubuhu na mbunye hao!!
 
Ila jamani tuongee ukweli,hawa madogo wana vipaji! Kinachotakiwa wawe chini ya uangalizi wa wazazi na jamii wasije jiingiza kwenye tabia mbaya, vinginevyo wanaweza iletea heshima nchi yetu kama diamond ...

Ha ha ha we jamaa bhana...
 
acha hizo wewe, wanakunywa chai kila siku?? mbona hata Ray C na liyumba walikunywa chai ikulu, wako wapi sasa

tusiwape mibichwa wale madogo

if we want them to stop, it can be done... wananchi wana mfumo wa kuwafanya waseme hapana
Hehehe dear great thinker, unajua maana ya "unaweza kuta" au kwa ufasha zaidi "unaweza kukuta"? Take it easy dude.
 
Back
Top Bottom