Yamoto Band ndan ya BBC

Yamoto Band ndan ya BBC

neo1

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
576
Reaction score
840
Kesho hawa watoto watafanya show East London,ambayo itakuwa ya kufaana saana!Watanzania waishio huko wengi wamepanga kuwa-support na nimeambiwa ticket zimeisha tayari!

Ni moja ya band nzuri,japo ni band ambayo haina hata kinanda ila wanafanya musiki mzuri unaoimbika na kuchezeka.

Kwa jamii yetu haina role model,mfano nyimbo zao zinaimbika na rika zote na zaidi ya watoto ambao hutamani kuwa kama wao,ila sio muda ukasikia wana scandal.

Mfano waliokuwa role model kwa vijana wengi ni Wema na Diamond platinum,ila hawa ndio wajajielewa kama kuna wafuasi na jamii ya vijana inawatazama kama na inataman kuwa kama wao.

Sasa vijana wa Masaki na wale wa kishua role model anakuwa Lil Wayne,Justine Bieber,akina Kim Kardashian Amber Rose ambao wengi tunafahamu habari zao,pia haziakisi jamii husika ya kitanzania ndio huwa waanza kuharibika na kuvuta madawa japo wazazi wanawasomesha kwenye shule za gharama saaana.

Hili kundi natamani liwe kama the Jackson back in time maana walikuwa na style zao hata nywele zao watu walikuwa wanawafahamu, nyimbo zao na kucheza style zao na kuvaa kama wao.

Ila changamoto ipo kwenye kundi kudumu,ilo lipo kulingana na maslahi,au kila mtu kujiona anaweza zaidi,ushauri toka nje ya makundi na kujiendeleza katika muziki,management yao sioni kama ina mpango wa kuwaendeleza hata katika shule kawaida au basi shule kwa taaluma zao za musiki.

Kwa musiki mzuri wanaofanya inabidi kuwa na maisha mazuri na maendeleo yao kama mtu binafsi na kundi.

Ila jamii hapa management huwa inaangalia matumbo yao na kuiendeleza matumbo yao wenyewe na ikitokea ukachallange management ndo mwisho wako maana wao ndio don kwenye music industry hapa Tanzania!!!.

Hapa inatakiwa kuwa na mfumo mzuri wa hakimiliki maana hata kama ukiacha kazI zile nyimbo zako unaweza kuendelea kupata mapato toka kwenye nyimbo zao!!

Wish da best n keep da good music alive.
 
Daah Mkuu umeelezea vitu vingi kweli kwa wakati mmoja na vyote naona havifanani na kabisa na heading. Samahani lakini kwa usumbufu.
 
Tickets haziishagi kwenye shows za wabongo London, kwanza mtindo wa kukata in advance hatunao kutokana na kuogopa kupigwa changa. .....isitoshe wabongo wengi bado walalamishi, wanakuja kwenye show badala ya kukata ticket na kuingia anaanza kufanya magumashi ili aingie bure. ...wabongo noma
 
Eti role model wa vijana wengi

WEMA NA DIAMOND

HAHAHAHA NIOMBE MWANANGU ASIFIKE HUKO
 
Mkuu umeishia darasa la ngapi? Ukiacha title, uzi mzima sioni unapotumia neno BBC
 
Kesho hawa watoto watafanya show East London,ambayo itakuwa ya kufaana saana!Watanzania waishio huko wengi wamepanga kuwa-support na nimeambiwa ticket zimeisha tayari!

Ni moja ya band nzuri,japo ni band ambayo haina hata kinanda ila wanafanya musiki mzuri unaoimbika na kuchezeka.

Kwa jamii yetu haina role model,mfano nyimbo zao zinaimbika na rika zote na zaidi ya watoto ambao hutamani kuwa kama wao,ila sio muda ukasikia wana scandal.

Mfano waliokuwa role model kwa vijana wengi ni Wema na Diamond platinum,ila hawa ndio wajajielewa kama kuna wafuasi na jamii ya vijana inawatazama kama na inataman kuwa kama wao.

Sasa vijana wa Masaki na wale wa kishua role model anakuwa Lil Wayne,Justine Bieber,akina Kim Kardashian Amber Rose ambao wengi tunafahamu habari zao,pia haziakisi jamii husika ya kitanzania ndio huwa waanza kuharibika na kuvuta madawa japo wazazi wanawasomesha kwenye shule za gharama saaana.

Hili kundi natamani liwe kama the Jackson back in time maana walikuwa na style zao hata nywele zao watu walikuwa wanawafahamu, nyimbo zao na kucheza style zao na kuvaa kama wao.

Ila changamoto ipo kwenye kundi kudumu,ilo lipo kulingana na maslahi,au kila mtu kujiona anaweza zaidi,ushauri toka nje ya makundi na kujiendeleza katika muziki,management yao sioni kama ina mpango wa kuwaendeleza hata katika shule kawaida au basi shule kwa taaluma zao za musiki.

Kwa musiki mzuri wanaofanya inabidi kuwa na maisha mazuri na maendeleo yao kama mtu binafsi na kundi.

Ila jamii hapa management huwa inaangalia matumbo yao na kuiendeleza matumbo yao wenyewe na ikitokea ukachallange management ndo mwisho wako maana wao ndio don kwenye music industry hapa Tanzania!!!.

Hapa inatakiwa kuwa na mfumo mzuri wa hakimiliki maana hata kama ukiacha kazI zile nyimbo zako unaweza kuendelea kupata mapato toka kwenye nyimbo zao!!

Wish da best n keep da good music alive.
hivi ni lini mtaacha kuvuta bangi bila kula vizuri? bangi ni mbaya kwa binaadam hasa kwa nyie msiokula vizuri
 
Mkuu umeishia darasa la ngapi? Ukiacha title, uzi mzima sioni unapotumia neno BBC

duuuh poole mkuu,jana walikuwa wanhojiwa na Charles hirali wa BBC,pamoja na yote waliahidi kufanya show nzuri,me nkasahau na kuanza kushuka peke yake ya rohoni na ambalo naliona..niwie radhi mkuu
 
Mkuu umeishia darasa la ngapi? Ukiacha title, uzi mzima sioni unapotumia neno BBC

mkuu hata kusoma sijasoma,habari haijakidhi maudhui ya kichwa chake.lakin kama kuna chochote cha kuchukua basi chukua,
 
Huu mchanyato sijauelewa kuna magimbi viazi kunde mbaazi ngoja nitarudi kuusoma tena dhamira nadhani itakuwa njema.
 
Back
Top Bottom