Yamoto Band: Watatu mambo yao safi; nini tatizo kwa Enock Bella?

Yamoto Band: Watatu mambo yao safi; nini tatizo kwa Enock Bella?

Huyo Mbosso hakuna kitu, promo na nguvu nyingi lakini hakuna kitu !

- Wajuvi Yamoto Band ni Beka na Aslay tu !

mbosso fundi mno alafu sio bubble gum kama aslay nadhani ni swala la muda mambo mengine yanaitaji muda ziadi kuyaelewa...mimi mwanzo sikuwa namuelewa kabisa lavalava ila amenipruv wrong
 
Back
Top Bottom