Yamoto ipo wapi??

babu tale na mkubwa fela wanawaogesha kina tiffa
sallam amechukua nafasi yao maana hawajui kiingereza hawana kazi yoyote wasafi ila wapo tu wabeba pampas za zari wale
jiulize diamond mameneja watatu wa nin huku yamoto ikiachwa ife?
 
watoto wale labda wameenda kusomaa kwanzaa maana siunajuaa shulee muhimu ....
 
Labda mmoja au wawili wakiamua kusimama solo, ndio group litakaposambaratika. Lakini kwasasa bado wanakubalika
 
Wakati wapo kwenye chat walifanikiwa kujenga au kuanzisha biashara yoyote?
Tumechoka kuchangia wasanii pale wanapofulia na kukimbilia kula ngada
 
Walizozana na boss kama sikosei..waangalie 20% alizinguana na meneja wake akafa kigo cha parachichi mtini
 
Mkubwa fella anasimamia wasanii wengi sana kuwasaidia watimize malengo na ndoto zao. Hawezi kuwapendelea Yamoto band peke yao kwa hiyo wanatoa nyimbo zamu kwa zamu kila mmoja/kundi wapate nafasi.
--Bado yamoto wana kisima cha nyimbo nyingi ambazo hazijatoka waliongelea kwenye interview ya Clouds na sakina lyoka.
**Nyimbo yao ambayo ipo mtaani kwa sasa walioimba na ruby ni nzuri sana, sema ruby hakutokelezea kwenye video
 
Wana mgogoro wa chini kwa chini na mkubwa Fella..

Hata kwenye zile nyumba alizowajengea wamehama!

Kwakuwa wenyewe wameamua kufanya mgogoro wao private na mimi nisiongee Mengi sana..

Ila naumia sana kwa wadogo zangu hawa (hasa Aslay) kukubali kushikiwa akili na Maromboso.. Aka kajamaa (maromboso) ukikaona kwa TV kanaonekana very innocent ila kana roho mbaya and very negative.!!

Nakuombea Boss Fella hawa watoto akili ziwarudie huu mgogoro uishe..
 
Su-Yamoto ft Rubi ilitoka mwezi wa sita mwaka huu, baada ya show za hapa na pale ikaja project ya Coke Studio ikawaweka bize kidogo.Kwa hiyo ni mapema sana kusema wamepotea kumbuka hata Aje ya Alikiba ilitoka mwezi wa tano mwaka huu na mpaka leo Kiba hajatoa track mpya lakini hatuwezi kusema amepotea.
 
They over-saturated the market.

They were releasing new tracks just about every other month and it's only natural that consumers got tired of them.

Time for them to lay low and regroup.
we huujui mziki wa bongo tulisema haya kwa dogo janja ila sasa hivi hashikiki just good management will solve all this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…