Hawajajifunza kutoka kwa kaka zao akina Nature na TMK Wanaume Halisi yao?Wana mgogoro wa chini kwa chini na mkubwa Fella..
Hata kwenye zile nyumba alizowajengea wamehama!
Kwakuwa wenyewe wameamua kufanya mgogoro wao private na mimi nisiongee Mengi sana..
Ila naumia sana kwa wadogo zangu hawa (hasa Aslay) kukubali kushikiwa akili na Maromboso.. Aka kajamaa (maromboso) ukikaona kwa TV kanaonekana very innocent ila kana roho mbaya and very negative.!!
Nakuombea Boss Fella hawa watoto akili ziwarudie huu mgogoro uishe..
Good management won't solve everything because it's not the [a] panacea.we huujui mziki wa bongo tulisema haya kwa dogo janja ila sasa hivi hashikiki just good management will solve all this
JF inaniondolea stress za sizonjeehivi si alikabidhiwa mh. temba awasimamie!! labda anawafundisha kuvuta bhange
Madogo wamevimba kichwa wamejisahau.!Hawajajifunza kutoka kwa kaka zao akina Nature na TMK Wanaume Halisi yao?
Hivi hawa watoto wana fan base ya kumfikia Nature?
Mbona alipotea mazima hadi leo?
Shauri zao.
mkuu hapo kwa maromboso hebu funguka kidogo inaonekana kuna kitu.Wana mgogoro wa chini kwa chini na mkubwa Fella..
Hata kwenye zile nyumba alizowajengea wamehama!
Kwakuwa wenyewe wameamua kufanya mgogoro wao private na mimi nisiongee Mengi sana..
Ila naumia sana kwa wadogo zangu hawa (hasa Aslay) kukubali kushikiwa akili na Maromboso.. Aka kajamaa (maromboso) ukikaona kwa TV kanaonekana very innocent ila kana roho mbaya and very negative.!!
Nakuombea Boss Fella hawa watoto akili ziwarudie huu mgogoro uishe..
Watajijua wenyewe, akili zitakapowarejea wataenda kupiga magoti kwa Fella kama PNC na Ustaadh Juma Namusoma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Madogo wamevimba kichwa wamejisahau.!
Kuna siku niliwahi kukutana nao studio flani hivi sio maarufu saaana kuna tangazo audio nilipeleka kufanya mastering kwa producer, ni mwana...
Ndio nikawakuta hawa madogo, daaaahh maneno waliyokuwa wanaongea aisee walinisikitisha sana!
Wamejisahau mno, na wamevimba kichwa.. Hasa huyu Maromboso ndio hopeless kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watajijua wenyewe, akili zitakapowarejea wataenda kupiga magoti kwa Fella kama PNC na Ustaadh Juma Namusoma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Madogo vile wakipita mjini mademu wanaomba selfie wanajiona wizkid..
Si utani wamuulize PNC hahahaha unapoga magoti alafu unaambiwa "subiri usinyanyuke kwanza tukupige picha" hahahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kwa kunichekesha huku babe
Uwiiiiiiii
Ile issue ya PNC nilicheka kinoma.
Eti "subiri usinyanyuke kwanza tukupige picha"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kazi yake hiyo Mkuu!! Kila Meneja wa chibu ana kazi yake..Mbona simuoni pia fella akiongozana na tale wakiwa na diamond
Fella anakula kiutu uzima tofauti na Tale ye kanogewa kabisa.Tip top imekufa kabaki Madee na Dogo Janja ye hana hata habari yupo busy na mabegi ya DimondMbona simuoni pia fella akiongozana na tale wakiwa na diamond
Aimbe wapi?Bora arudi zake akavue sato kijana wa watu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi bado anaimba PNC au asharudi mwanza???
Fella anakula kiutu uzima tofauti na Tale ye kanogewa kabisa.Tip top imekufa kabaki Madee na Dogo Janja ye hana hata habari yupo busy na mabegi ya Dimond