Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Msajilini rock star [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aimbe wapi?Bora arudi zake akavue sato kijana wa watu.
Ila jamaa ana kipaji basi tu.
Msajilini rock star [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbana pua mwenzenu yule, anabana pua utadhani mdomoni ana Mashine ya auto tune kama kiba [emoji23] [emoji23]
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kiba atakuuwa mwanaume.
Tena subiri siku nikutumie picha niliyopiga nae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
PNC akipata management nzuri Madale hakuna wa kumfikia,labda kidogo Rayvan.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Nitumie hiyo Picha uone kama next outing hatujaenda mwembe chai kunywa kahawa na kashata za mia mia huku taratiiiiibuuuu tukishushia na stori za faru john..
Madale hatusajili wabana pua waliomeza mashine za auto tune.. Ndio maana hata kiba asijepe moyo kama kuna siku tutamsajili [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Labda kidogoooo Rucky baby [emoji1] [emoji23]
Una bahati [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nisamehe babe,nilikuwa nakutania tu.
Picha na Kiba ya nini mimi?
Wewe watosha.
Thubutuuuuu ile chata hamuipati hadi Dunia inakwisha (Kiba)
Huyo boss wako amekuwa akilia kuipata sauti ya King wewe unaiponda?[emoji87]
Mahaba yamekupofusha bae.
Una bahati [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kashata zingehusika.. Ila kuna siku tutaenda pale kwaajili ya pweza hahaha hivi shibam kuna pweza??
Tulishasema na tunasema tena, kama ishu ni sauti tamu basi tungemsajili Wema Sepetu..
Hatuhitaji watu wakiomeza mashine za Auto tune [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kashata napenda ila sio za kutolewa out na babe eti nikale kashata jamani!
Ni zaidi ya adhabu...nitaliaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shibam ni mwendo wa sekela,pizza,biriani na chai chai...
Pweza hawakosekani bwana.
Ila wewe utakula pweza wako mimi sekela [emoji39] [emoji6]
Sauti ya kuongea ni tofauti na ya kuimba hun...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usinikumbushe ile sauti ya Dai kwenye live perfomance ya MTV juzikati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulipotea JF wiki!Sio kwa aibu ile...lol
Japo unaongea kimasihara ila unachosema ndio ukweli wenyewe, nawahurumia kina Tunda manFella anakula kiutu uzima tofauti na Tale ye kanogewa kabisa.Tip top imekufa kabaki Madee na Dogo Janja ye hana hata habari yupo busy na mabegi ya Dimond
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapenda shibam wewe, this time its goin be somewhere, a surprise [emoji6] but you will love it.. Kuna yale mambo tulikuwa tunaongea Jana unanitoa ushamba [emoji23]
MTV wenyewe, BET wamesema that was one of the best performances usiku ule.. [emoji123] [emoji123] [emoji85][emoji23]
Kweli We Mzaramo!Yule jamaa Dimond kishaiba nyota yao hapo...
Toka atokee kwenye video yao ya Cheza kwa madoido ndio imekula kwao moja kwa moja sasa hivi yupo busy kuiba nyota ya Rich Mavoko
Nasikia Msanii Wako Akiwa Anaimba Mdomo Kama Anapiga Mluzi Au Filimbi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nisamehe babe,nilikuwa nakutania tu.
Picha na Kiba ya nini mimi?
Wewe watosha.
Thubutuuuuu ile chata hamuipati hadi Dunia inakwisha (Kiba)
Huyo boss wako amekuwa akilia kuipata sauti ya King wewe unaiponda?[emoji87]
Mahaba yamekupofusha bae.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87] ...!!!hivi si alikabidhiwa mh. temba awasimamie!! labda anawafundisha kuvuta bhange
Nimecheka mpaka watu wameamka..!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]babu tale na mkubwa fela wanawaogesha kina tiffa
sallam amechukua nafasi yao maana hawajui kiingereza hawana kazi yoyote wasafi ila wapo tu wabeba pampas za zari wale
jiulize diamond mameneja watatu wa nin huku yamoto ikiachwa ife?
We nawe husikiagi..!Mbona simuoni pia fella akiongozana na tale wakiwa na diamond
Tatizo nyota..!Aimbe wapi?Bora arudi zake akavue sato kijana wa watu.
Ila jamaa ana kipaji basi tu.
Hivi band ya Yamoto ipo wapi sikuizi mbona??
Kwa ushindani huu wa sasa naona tunakaribia kuwakosa kimuziki