Yanahitajika maombolezo ya kitaifa na bendera zishushwe nusu mlingoti

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Baada ya kutazama video kadhaa itoshe kusema mauaji haya yaliyotokea ni makubwa mno! mioyo ya watanzania imejeruhika mno! ni mtu mwenye roho ngumu sana pekee, anayeweza kuona ni hali ya kawaida, wengi wanajaribu kulazimisha kusahau lakini bado mioyo inavuja damu, Vyombo vya habari vinajaribu kuhamisha mada kwenye mambo mengine kama mpira, Lakini bado mioyo ya wengi imeumia mno! Huo ndiyo ukweli, Wengi wanakosa usingizi, Wengi wanalia na wengine wanaendelea kulia mno!

Bila kujali kwamba wamekufa kwa namna gani, Nadhani hawa watanzania wenzetu waliotangulia mbele za haki wanapaswa kuagwa kwa upendo ikibidi itengwe siku maalum ya kuomboleza.

WAPUMZIKE KWA AMANI.
 
Yaani watu mpange kufanya fujo mdhibitiwe halafu mnataka muombolezwe,kweli nyie ni wajinga aisee!!
 
Walizima mitandao ili kuficha, hiyo itakuwa admission mbele ya dunia.

Nilidhani hawatoandamana, turns out hilo wazo ni overestimation kubwa. Sababu ni kitendo fruitless na hatari sana kwa wote. Ni vyema kutafuta njia nyingine badala ya kusikiliza influencers kama kile kidada cha Marekani kilicho hotelini sasa hivi.

Kuna watu niliwaambia kwamba wanajitafutia kufa bure wakaniita muoga na paranoid. Well, I'm alive.
 
Baada ya kutazama video kadhaa itoshe kusema mauaji haya yaliyotokea ni makubwa mno! mioyo ya watanzania imejeruhika mno! ni mtu mwenye roho ngumu sana pekee, anayeweza kuona ni hali ya kawaida, wengi wanajaribu kulazimisha kusahau lakini bado mioyo inavuja damu, Vyombo vya habari vinajaribu kuhamisha mada kwenye mambo mengine kama mpira, Lakini bado mioyo ya wengi imeumia mno! Huo ndiyo ukweli, Wengi wanakosa usingizi, Wengi wanalia na wengine wanaendelea kulia mno!

Bila kujali kwamba wamekufa kwa namna gani, Nadhani hawa watanzania wenzetu waliotangulia mbele za haki wanapaswa kuagwa kwa upendo ikibidi itengwe siku maalum ya kuomboleza.

WAPUMZIKE KWA AMANI.
Ila kwa roho na desturi ya kupuuza mambo waliyojijengea wenye mamlaka na chawa wao,binafsi nimejiuliza kwanini haijawa hivyo hadi sasa na kwanini tufichwe idadi kubwa kiwango hicho cha upotevu wa maisha wa kukusudia?
 
Back
Top Bottom