Gentleman,GTs,
1️⃣
Baada ya matukio ya mauaji ya vijana waliokuwa kwenye maandamano kuanzia tarehe 29 Oktoba, Rais Samia alihutubia wazee wa Dar es Salaam. Badala ya faraja na uwajibikaji, hotuba ilibeba maswali na kauli zilizoacha maswali mazito kwa mustakabali wa taifa.
2️⃣
Kauli yake ya “Mbona wao huwa wanafanya?” na swali la “Who are you?” hayakuwa maneno ya kawaida. Ilikuwa lugha ya kujitetea, si ya kuponya. Ilionekana kama kuhalalisha kilichotokea kwa kuangalia mabaya ya wengine, badala ya kutazama maumivu ya Watanzania.
3️⃣
Baada ya tafakari, picha kubwa inaanza kujitokeza: je, mauaji ya MO29 yalikuwa zaidi ya siasa za ndani? Je, yalikuwa malipizi ya kisaikolojia na kisiasa dhidi ya shinikizo na lawama kutoka EU/USA/Israel kuhusu msimamo wa Tanzania?
4️⃣
Rais alionekana kushangazwa na kile alichokiona kama unafiki wa wazungu:
👉 Wanamshutumu Tanzania kwa kuua Wakristo na Waislamu
👉 Wakati wao (kupitia Israel) wanaua Waislamu Gaza
Hapa hoja haikuwa haki, bali “ninyi pia mnafanya”.
5️⃣
Hii ni hatari. Kwa sababu inapobadilishwa hoja ya uwajibikaji wa ndani kuwa kulipiza kisasi cha kimataifa, taifa linaingia kwenye siasa za proxy revenge — wananchi wanakuwa chombo cha kupeleka ujumbe kwa mataifa mengine.
6️⃣
Ukifikia hatua ambapo damu ya vijana wako inakuwa sehemu ya ujumbe wa kisiasa wa kimataifa, basi dira ya uongozi inakuwa imepotea. Taifa halitawaliwi tena kwa misingi ya haki, bali kwa hasira na visasi.
7️⃣
Swali kubwa:
➡️ Taifa litaponaje kama majeraha ya ndani yanatumika kujibu maumivu ya nje?
➡️ Amani itarudije kama maisha ya raia yanageuzwa kuwa lugha ya diplomasia ya hasira?
8️⃣
Kuponya taifa kunahitaji:
✔️ Kukiri makosa
✔️ Kuwajibika
✔️ Kutenganisha siasa za kimataifa na uhai wa raia
✔️ Kuthamini maisha ya Mtanzania kuliko hoja za “na wao wanafanya”
9️⃣
Bila hilo, tutabaki taifa lililokwama katikati ya migogoro ya wengine — tukilipiza visasi ambavyo hatukuanza, na kulipa gharama ambayo hatupaswi kulipa.
🔚 Mwisho
Taifa haliwezi kujengwa juu ya maiti za vijana wake, hata kama dunia nzima imekosea.
Bosi Tlaatlaah nakufahamu vizuri sana in person wewe ni sehemu ya mfumo unaoendesha nchi. Hivyo ni ngumu sana kujua namna ambavyo wananchi wanataabika na kesi za kubambika na kuuawa ovyo, haujui jinsi ambavyo haki inapokwa.Gentleman,
Amani na Utulivu wa waTanzania wote vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile,
haramia yeytote yule ajitie kimbelembele kwenye hilo uone kilichomtoa kanga manyoya.
hakuna muda wa kuintertain nonsense kwenye kuhatarisha amani ya taifa letu
Tumekusikia madelu. Tutakukamua hayo maji. Okey?Gentleman,
Amani na Utulivu wa waTanzania wote vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile,
haramia yeytote yule ajitie kimbelembele kwenye hilo uone kilichomtoa kanga manyoya.
hakuna muda wa kuintertain nonsense kwenye kuhatarisha amani ya taifa letu
Wewe ndio unAleta mambo ya gaza, Rais hakuongelea hilo. Acha uchonganishiGTs,
1️⃣
Baada ya matukio ya mauaji ya vijana waliokuwa kwenye maandamano kuanzia tarehe 29 Oktoba, Rais Samia alihutubia wazee wa Dar es Salaam. Badala ya faraja na uwajibikaji, hotuba ilibeba maswali na kauli zilizoacha maswali mazito kwa mustakabali wa taifa.
2️⃣
Kauli yake ya “Mbona wao huwa wanafanya?” na swali la “Who are you?” hayakuwa maneno ya kawaida. Ilikuwa lugha ya kujitetea, si ya kuponya. Ilionekana kama kuhalalisha kilichotokea kwa kuangalia mabaya ya wengine, badala ya kutazama maumivu ya Watanzania.
3️⃣
Baada ya tafakari, picha kubwa inaanza kujitokeza: je, mauaji ya MO29 yalikuwa zaidi ya siasa za ndani? Je, yalikuwa malipizi ya kisaikolojia na kisiasa dhidi ya shinikizo na lawama kutoka EU/USA/Israel kuhusu msimamo wa Tanzania?
4️⃣
Rais alionekana kushangazwa na kile alichokiona kama unafiki wa wazungu:
👉 Wanamshutumu Tanzania kwa kuua Wakristo na Waislamu
👉 Wakati wao (kupitia Israel) wanaua Waislamu Gaza
Hapa hoja haikuwa haki, bali “ninyi pia mnafanya”.
5️⃣
Hii ni hatari. Kwa sababu inapobadilishwa hoja ya uwajibikaji wa ndani kuwa kulipiza kisasi cha kimataifa, taifa linaingia kwenye siasa za proxy revenge — wananchi wanakuwa chombo cha kupeleka ujumbe kwa mataifa mengine.
6️⃣
Ukifikia hatua ambapo damu ya vijana wako inakuwa sehemu ya ujumbe wa kisiasa wa kimataifa, basi dira ya uongozi inakuwa imepotea. Taifa halitawaliwi tena kwa misingi ya haki, bali kwa hasira na visasi.
7️⃣
Swali kubwa:
➡️ Taifa litaponaje kama majeraha ya ndani yanatumika kujibu maumivu ya nje?
➡️ Amani itarudije kama maisha ya raia yanageuzwa kuwa lugha ya diplomasia ya hasira?
8️⃣
Kuponya taifa kunahitaji:
✔️ Kukiri makosa
✔️ Kuwajibika
✔️ Kutenganisha siasa za kimataifa na uhai wa raia
✔️ Kuthamini maisha ya Mtanzania kuliko hoja za “na wao wanafanya”
9️⃣
Bila hilo, tutabaki taifa lililokwama katikati ya migogoro ya wengine — tukilipiza visasi ambavyo hatukuanza, na kulipa gharama ambayo hatupaswi kulipa.
🔚 Mwisho
Taifa haliwezi kujengwa juu ya maiti za vijana wake, hata kama dunia nzima imekosea.
Yawezekana walikuwa wanalipa kisasi ya mauaji ya ndugu zetu gaza si unajua ndugu wa muislam ni muislam mwezetuGTs,

Maccm hayajali hilo wewe yenyewe yanataka hongo na teuzi za upendeleo tuNaamini hata CCM wenyewe wakishamaliza kumtetea mama wakatulia majumbani kwao huwa wanashindwa kuelewa what happened on October 29
My friend Mudawote,Bosi Tlaatlaah nakufahamu vizuri sana in person wewe ni sehemu ya mfumo unaoendesha nchi. Hivyo ni ngumu sana kujua namna ambavyo wananchi wanataabika na kesi za kubambika na kuuawa ovyo, haujui jinsi ambavyo haki inapokwa.
Nikupe shule tu kidogo.
Hakuna aliyekuwa anamchukia Dkt Samia na watanzania ilitokea walimpenda sana Dkt Samia.
Tatizo lilianza pale ambapo alianza kwenda kinyume na matarajio ya wananchi (kumbuka uongozi unatoka kwa wananchi). Kila aliyekuwa ana sema neno kuhusu uongozi alitekwa au kuuawa. Ndiyo maana Gwajima akajitokeza ila kanisa likafungiwa.
Kosa la Samia ni kushindwa kukemea tu! Yaani kukosa kauli ya kimamlaka kusema mimi nina 4R sitaki watu wangu watekwe na kuuawa.
Ila yeye akachukulia kila anayempinga basi ni mkristo anastahili kutekwa au kuuawa (ndiyo maana akafanya jaribio la kumuua Dkt Kitima).
Kwa ufupi Dkt Samia yupo kwenye malipizi ya kuua wakristo ili alipize vifo vya watu wa Gaza.
Inawezekana wewe unaona sawa ila iko siku utakuja kuelewa.
1.Nakubaliana kuwa swala la Gaza haliJustify mauaji ya dhuluma popote pale.GTs,
1️⃣
Baada ya matukio ya mauaji ya vijana waliokuwa kwenye maandamano kuanzia tarehe 29 Oktoba, Rais Samia alihutubia wazee wa Dar es Salaam. Badala ya faraja na uwajibikaji, hotuba ilibeba maswali na kauli zilizoacha maswali mazito kwa mustakabali wa taifa.
2️⃣
Kauli yake ya “Mbona wao huwa wanafanya?” na swali la “Who are you?” hayakuwa maneno ya kawaida. Ilikuwa lugha ya kujitetea, si ya kuponya. Ilionekana kama kuhalalisha kilichotokea kwa kuangalia mabaya ya wengine, badala ya kutazama maumivu ya Watanzania.
3️⃣
Baada ya tafakari, picha kubwa inaanza kujitokeza: je, mauaji ya MO29 yalikuwa zaidi ya siasa za ndani? Je, yalikuwa malipizi ya kisaikolojia na kisiasa dhidi ya shinikizo na lawama kutoka EU/USA/Israel kuhusu msimamo wa Tanzania?
4️⃣
Rais alionekana kushangazwa na kile alichokiona kama unafiki wa wazungu:
👉 Wanamshutumu Tanzania kwa kuua Wakristo na Waislamu
👉 Wakati wao (kupitia Israel) wanaua Waislamu Gaza
Hapa hoja haikuwa haki, bali “ninyi pia mnafanya”.
5️⃣
Hii ni hatari. Kwa sababu inapobadilishwa hoja ya uwajibikaji wa ndani kuwa kulipiza kisasi cha kimataifa, taifa linaingia kwenye siasa za proxy revenge — wananchi wanakuwa chombo cha kupeleka ujumbe kwa mataifa mengine.
6️⃣
Ukifikia hatua ambapo damu ya vijana wako inakuwa sehemu ya ujumbe wa kisiasa wa kimataifa, basi dira ya uongozi inakuwa imepotea. Taifa halitawaliwi tena kwa misingi ya haki, bali kwa hasira na visasi.
7️⃣
Swali kubwa:
➡️ Taifa litaponaje kama majeraha ya ndani yanatumika kujibu maumivu ya nje?
➡️ Amani itarudije kama maisha ya raia yanageuzwa kuwa lugha ya diplomasia ya hasira?
8️⃣
Kuponya taifa kunahitaji:
✔️ Kukiri makosa
✔️ Kuwajibika
✔️ Kutenganisha siasa za kimataifa na uhai wa raia
✔️ Kuthamini maisha ya Mtanzania kuliko hoja za “na wao wanafanya”
9️⃣
Bila hilo, tutabaki taifa lililokwama katikati ya migogoro ya wengine — tukilipiza visasi ambavyo hatukuanza, na kulipa gharama ambayo hatupaswi kulipa.
🔚 Mwisho
Taifa haliwezi kujengwa juu ya maiti za vijana wake, hata kama dunia nzima imekosea.
relax and calm down,Tumekusikia madelu. Tutakukamua hayo maji. Okey?
Madelu punguza vurugu ukijua tutakutumbua tuu. Kaa kimtegorelax and calm down,
msiharibu vyanzo vya maji tafadhali gentleman
relax gentleman,Madelu punguza vurugu ukijua tutakutumbua tuu. Kaa kimtego
Emoji yako ya kima huitumii siku hizirelax gentleman,
be focused
jadili hoja gentleman, porojo zingine si muhimu sanaEmoji yako ya kima huitumii siku hizi