Yanayoendelea Jijini Mbeya uzinduzi wa Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini ya Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Ikiwa ni Mwisho wa mgogoro kati ya pande mbili zinazohitalifiana. Leo Jijini Mbeya wafuasi wa Askofu Mwaikali wanafurahia kujiunga na mwamvuli wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki wakitokea K.K.K.T.

Ni huzuni kubwa kujitenga na kanisa hilo kongwe lililoasisiwa mwaka 1963 baada ya kuunganisha dayosisi saba za wakati huo, lakini hakuna namna zaidi ya kufanya hivyo kwani wakubwa wa kanisa ndio waliotufikisha hapa.
 
Video inagoma kuatach
Ikiwa ni Mwisho wa mgogoro kati ya pande mbili zinazo hitalifiana. Leo Jijini mbeya wafuasi wa Askofu Mwaikali wanafurahia kujiunga na muamvuli wa kanisa la kirutheri Africa mashariki wakitokea K.K.K.T.
Ni huzuni kubwa kujitenga na kanisa hilo kongwe lililoasisiwa mwaka 1963 baada ya kuunganisha dayosisi saba za wakati huo, lakini hakuna namna zaidi ya kufanya hivyo kwani wakubwa wa kanisa ndio walio tufikisha hapa.
 
Ikiwa ni Mwisho wa mgogoro kati ya pande mbili zinazohitalifiana. Leo Jijini Mbeya wafuasi wa Askofu Mwaikali wanafurahia kujiunga na mwamvuli wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki wakitokea K.K.K.T.

Ni huzuni kubwa kujitenga na kanisa hilo kongwe lililoasisiwa mwaka 1963 baada ya kuunganisha dayosisi saba za wakati huo, lakini hakuna namna zaidi ya kufanya hivyo kwani wakubwa wa kanisa ndio waliotufikisha hapa.
Wakubwa wamezuia kupiga picha? Na lipo sehemu gani ya jiji?
 
Hilo jina limepata usajili hapa??

Kwa maana huwezi ukaanzisha kanisa jipya kwa jina ambalo tayari lipo.

Ni kuwachanganya waumini.

Kwanini kwa busara tu msitafute jina jingine??

Maana huko ni kuendeleza migogoro wakati lengo ni kutoa huduma ya kiroho.
 
Ikiwa ni Mwisho wa mgogoro kati ya pande mbili zinazohitalifiana. Leo Jijini Mbeya wafuasi wa Askofu Mwaikali wanafurahia kujiunga na mwamvuli wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki wakitokea K.K.K.T.

Ni huzuni kubwa kujitenga na kanisa hilo kongwe lililoasisiwa mwaka 1963 baada ya kuunganisha dayosisi saba za wakati huo, lakini hakuna namna zaidi ya kufanya hivyo kwani wakubwa wa kanisa ndio waliotufikisha hapa.
Kanisa kongwe mwaka 1963??? [emoji3]
 
Hilo jina limepata usajili hapa??

Kwa maana huwezi ukaanzisha kanisa jipya kwa jina ambalo tayari lipo.

Ni kuwachanganya waumini.

Kwanini kwa busara tu msitafute jina jingine??

Maana huko ni kuendeleza migogoro wakati lengo ni kutoa huduma ya kiroho.
Hilo jina halipo ndio jipya,jina lililopo ni Dayosisi ya Konde.
 
Ikiwa ni Mwisho wa mgogoro kati ya pande mbili zinazohitalifiana. Leo Jijini Mbeya wafuasi wa Askofu Mwaikali wanafurahia kujiunga na mwamvuli wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki wakitokea K.K.K.T.

Ni huzuni kubwa kujitenga na kanisa hilo kongwe lililoasisiwa mwaka 1963 baada ya kuunganisha dayosisi saba za wakati huo, lakini hakuna namna zaidi ya kufanya hivyo kwani wakubwa wa kanisa ndio waliotufikisha hapa.
Sijakuelewa mkuu, walutheri wanajiunga na walutheri?
 
Haya anzeni kuwapelekea sadaka
Sasa

Ova
 
Hilo jina limepata usajili hapa??

Kwa maana huwezi ukaanzisha kanisa jipya kwa jina ambalo tayari lipo.

Ni kuwachanganya waumini.

Kwanini kwa busara tu msitafute jina jingine??

Maana huko ni kuendeleza migogoro wakati lengo ni kutoa huduma ya kiroho.
Ni tofauti mkuu. Kuna kanisa la kiinjili la kirutheri Tanzania, kuna kanisa la kirutheri la Africa mashariki yote yalikuwepo Tanzania
 
Siku hizi madhehebu karibu yote duniani viongozi wake wakianza kugombea fedha na mali zilizopatikana ndani ya madhehebu hayo hutokea mafarakano. Hekima inayotumika ni kugawanyika vipandevipande, mifano ipo mingi. Any way wote wanabaki kuwa wakristo na kazi ya kumhubiri Yesu kristo inaendelea kupitia mitafarakano hiyo. Ni kawaida kutawanyika kuliko kurundikana mahala pamoja kwa mafundisho yaleyale miaka nenda rudi.
 
Msizunguke saana lengo la hilo kanisa n kukusanya SADAKA

WATUMISHI WA MAKANISA MTAJI WAO N MDOMO.TU BAAASI
 
Back
Top Bottom