Yanayoendelea Loliondo sasa faini ni milioni 10 hadi milioni 50

Yanayoendelea Loliondo sasa faini ni milioni 10 hadi milioni 50

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
A5B47585-3221-4996-8673-36C1F6424810.jpeg

Wananchi waliambiwa ni beacons tu zinawekwa hakutakuwa na kuondolewa wala kusumbuliwa wasichunge na wengine tukaamini huenda ni mipaka tu inawekwa , ila kwa sasa mifugo kwa mamia inakamatwa na watu kulipa pesa nyingi sana kuzikomboa.
 
Ile kauli ya PM jana akihutubia msikitini Kinondoni, kuwa Ngorongoro ni salama ndio ilinifanya nizidi kuamini kuna tatizo kule.

Wamasai watabanwa kwa kila njia mpaka wakubali kuondoka wenyewe, hizo faini mfugaji akipigwa mara tatu kwa wiki anakuwa masikini.

Hapo ni either wauze ngombe kulipa faini, au waondoke wenyewe na mifugo yao.
 
Wananchi waliambiwa ni beacons tu zinawekwa hakutakuwa na kuondolewa wala kusumbuliwa wasichunge na wengine tukaamini huenda ni mipaka tu inawekwa , ila kwa sasa mifugo kwa mamia inakamatwa na watu kulipa pesa nyingi sana kuzikomboa.
Inalazimu kucheka tu mambo haya!

Ni kukosa tu akili hao watu wanaolipishwa gharama hizo.

Kwani wakiungana kwa umoja wao, wakaswaga ng'ombe wote wa mkoa mzima kwenye eneo hilo itakuwaje.

Hivi ya Sri Lanka hata kujifunza kidogo hawawezi?
 
Back
Top Bottom