Yanayoendelea Loliondo sasa faini ni milioni 10 hadi milioni 50

Ile kauli ya PM jana akihutubia msikitini Kinondoni, kuwa Ngorongoro ni salama ndio ilinifanya nizidi kuamini kuna tatizo kule.

Wamasai watabanwa kwa kila njia mpaka wakubali kuondoka wenyewe, hizo faini mfugaji akipigwa mara tatu kwa wiki anakuwa masikini.

Hapo ni either wauze ngombe kulipa faini, au waondoke wenyewe na mifugo yao.
Mkuu, kwani hakuna njia zingine mbali ya hizi ulizoweka hapa.

Hawa wafugaji hawawezi kulifanya eneo lote lile kuwa kama Ikulu ya Sri Lanka? Hapo kweli hata hawa viongozi wanaowadharau wananchi wataendelea kweli na dharau zao?

Hawa watu wanakosa umoja na uongozi wa kuwasaidia wasionewe kila mara.
 
Mkuu, sijaandika hivyo kwa kupenda, bali nimeandika hivyo nikijua fika tabia zetu za kikondoo ambazo ndio mtaji wa CCM, na serikali yake.

Kila nikijaribu kutazama nione mfano wa kundi lililowahi kuungana miongoni mwetu ili kupinga dhulma zao, silioni, labda wamasai watakuwa mfano this time.
 
Hili swala la waTanzania kuwa na "tabia za kikondoo" namna hii nadhani itabidi lifanyiwe utafiti kujua hasa huu ukondoo unatokana na nini.
It's too much!

Ajabu yenyewe ni kuwa kati ya hao wafugaji wanaoumizwa, pembeni wapo wanaochekelea jambo hilo. Ni kama humu JF, hakuna tofauti kabisa!
 
Ile kauli ya PM jana akihutubia msikitini Kinondoni, kuwa Ngorongoro ni salama ndio ilinifanya nizidi kuamini kuna tatizo kule.

Wamasai watabanwa kwa kila njia mpaka wakubali kuondoka wenyewe, hizo faini mfugaji akipigwa mara tatu kwa wiki anakuwa masikini.

Hapo ni either wauze ngombe kulipa faini, au waondoke wenyewe na mifugo yao.
Waliambiwa muda watoke
 
Mwalimu Nyerere miaka ile baada tu ya uhuru alijitahidi sana kusomesha vijana kutoka kabila za wafugaji, awe amefaulu au hakufaulu awe anajua kusoma au hajua ilikuwa lazima serikali iwachukue vijana wasome.

Mwalimu Nyerere kwa wakati ule alijua kitu kitakachofuata huko kwa wafugaji.

Je, wako wapi wale vijana waliosomeshwa ili walinde maeneo yao?

Au ndo hao hao waliotumbukia kwenye siasa wakachukuliwa akili,
 
Wananchi waliambiwa ni beacons tu zinawekwa hakutakuwa na kuondolewa wala kusumbuliwa wasichunge na wengine tukaamini huenda ni mipaka tu inawekwa , ila kwa sasa mifugo kwa mamia inakamatwa na watu kulipa pesa nyingi sana kuzikomboa.
Nchi imeshauzwa!! Ardhi ni ya Mwarabu wa OBC. Ndugai alisema kweli!! Huyu Samia Mwinyi atatumaliza
 
Ile kauli ya PM jana akihutubia msikitini Kinondoni, kuwa Ngorongoro ni salama ndio ilinifanya nizidi kuamini kuna tatizo kule.

Wamasai watabanwa kwa kila njia mpaka wakubali kuondoka wenyewe, hizo faini mfugaji akipigwa mara tatu kwa wiki anakuwa masikini.

Hapo ni either wauze ngombe kulipa faini, au waondoke wenyewe na mifugo yao.
Ngorongoro ni salama Ila Loliondo ndio kuna mivutano.
 
Hili swala la waTanzania kuwa na "tabia za kikondoo" namna hii nadhani itabidi lifanyiwe utafiti kujua hasa huu ukondoo unatokana na nini.
It's too much!

Ajabu yenyewe ni kuwa kati ya hao wafugaji wanaoumizwa, pembeni wapo wanaochekelea jambo hilo. Ni kama humu JF, hakuna tofauti kabisa!
Siamini tena kama hiki kizazi chetu kitakuja kulikomboa hili taifa, labda vizazi viwili au vitatu vijavyo.

Hii nchi inaelekea tutafika mwaka 2100 bado tunatawaliwa na CCM, mataifa ya nje yatatushangaa sana, bahati nzuri najua sitakuwepo wakati huo hiyo aibu itawapata wengine.
 
Wananchi waliambiwa ni beacons tu zinawekwa hakutakuwa na kuondolewa wala kusumbuliwa wasichunge na wengine tukaamini huenda ni mipaka tu inawekwa , ila kwa sasa mifugo kwa mamia inakamatwa na watu kulipa pesa nyingi sana kuzikomboa.
Tokeni humo, mtabishana na serikali ?!?
 
Wananchi waliambiwa ni beacons tu zinawekwa hakutakuwa na kuondolewa wala kusumbuliwa wasichunge na wengine tukaamini huenda ni mipaka tu inawekwa , ila kwa sasa mifugo kwa mamia inakamatwa na watu kulipa pesa nyingi sana kuzikomboa.

Msisitize mdaiwa kulipa fedha ya watu kabla ya tarehe 22 Julai, 2022.

Vinginevyo atafikishwa mahakamani.

Acheni ujuaji na kulia lia fuateni utaratibu uliowekwa na Serikali kwa maslahi ya wote.

We ukachunge ng’ombe 100 ndani ya hifadhi unaambiwa kulipa compoundment unalia lia kalipe huko
 
Back
Top Bottom