EeeenHeeeee!Na bado kuna watu wanaamini wataleta vichwa na mabehewa mapya kwa ajili ya SGR wakishatanguliza ya Mtumba kama walivyoahidi.
Mkuu, kwani hakuna njia zingine mbali ya hizi ulizoweka hapa.Ile kauli ya PM jana akihutubia msikitini Kinondoni, kuwa Ngorongoro ni salama ndio ilinifanya nizidi kuamini kuna tatizo kule.
Wamasai watabanwa kwa kila njia mpaka wakubali kuondoka wenyewe, hizo faini mfugaji akipigwa mara tatu kwa wiki anakuwa masikini.
Hapo ni either wauze ngombe kulipa faini, au waondoke wenyewe na mifugo yao.
Mkuu, sijaandika hivyo kwa kupenda, bali nimeandika hivyo nikijua fika tabia zetu za kikondoo ambazo ndio mtaji wa CCM, na serikali yake.Mkuu, kwani hakuna njia zingine mbali ya hizi ulizoweka hapa.
Hawa wafugaji hawawezi kulifanya eneo lote lile kuwa kama Ikulu ya Sri Lanka? Hapo kweli hata hawa viongozi wanaowadharau wananchi wataendelea kweli na dharau zao?
Hawa watu wanakosa umoja na uongozi wa kuwasaidia wasionewe kila mara.
Ng'ombe 15 tu hapoKuna matajiri kweli kweli huko mmasai analipa kodi ya million 10 si mchezo. .
Hili swala la waTanzania kuwa na "tabia za kikondoo" namna hii nadhani itabidi lifanyiwe utafiti kujua hasa huu ukondoo unatokana na nini.Mkuu, sijaandika hivyo kwa kupenda, bali nimeandika hivyo nikijua fika tabia zetu za kikondoo ambazo ndio mtaji wa CCM, na serikali yake.
Kila nikijaribu kutazama nione mfano wa kundi lililowahi kuungana miongoni mwetu ili kupinga dhulma zao, silioni, labda wamasai watakuwa mfano this time.
Waliambiwa muda watokeIle kauli ya PM jana akihutubia msikitini Kinondoni, kuwa Ngorongoro ni salama ndio ilinifanya nizidi kuamini kuna tatizo kule.
Wamasai watabanwa kwa kila njia mpaka wakubali kuondoka wenyewe, hizo faini mfugaji akipigwa mara tatu kwa wiki anakuwa masikini.
Hapo ni either wauze ngombe kulipa faini, au waondoke wenyewe na mifugo yao.
Nchi imeshauzwa!! Ardhi ni ya Mwarabu wa OBC. Ndugai alisema kweli!! Huyu Samia Mwinyi atatumaliza
Wananchi waliambiwa ni beacons tu zinawekwa hakutakuwa na kuondolewa wala kusumbuliwa wasichunge na wengine tukaamini huenda ni mipaka tu inawekwa , ila kwa sasa mifugo kwa mamia inakamatwa na watu kulipa pesa nyingi sana kuzikomboa.
Ngorongoro ni salama Ila Loliondo ndio kuna mivutano.Ile kauli ya PM jana akihutubia msikitini Kinondoni, kuwa Ngorongoro ni salama ndio ilinifanya nizidi kuamini kuna tatizo kule.
Wamasai watabanwa kwa kila njia mpaka wakubali kuondoka wenyewe, hizo faini mfugaji akipigwa mara tatu kwa wiki anakuwa masikini.
Hapo ni either wauze ngombe kulipa faini, au waondoke wenyewe na mifugo yao.
Huyu si Waziri Mkuu Bali ni Mwongo Mkuu wa Tanzania.[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2286978
Siamini tena kama hiki kizazi chetu kitakuja kulikomboa hili taifa, labda vizazi viwili au vitatu vijavyo.Hili swala la waTanzania kuwa na "tabia za kikondoo" namna hii nadhani itabidi lifanyiwe utafiti kujua hasa huu ukondoo unatokana na nini.
It's too much!
Ajabu yenyewe ni kuwa kati ya hao wafugaji wanaoumizwa, pembeni wapo wanaochekelea jambo hilo. Ni kama humu JF, hakuna tofauti kabisa!
Tokeni humo, mtabishana na serikali ?!?
Wananchi waliambiwa ni beacons tu zinawekwa hakutakuwa na kuondolewa wala kusumbuliwa wasichunge na wengine tukaamini huenda ni mipaka tu inawekwa , ila kwa sasa mifugo kwa mamia inakamatwa na watu kulipa pesa nyingi sana kuzikomboa.
100X10,000 = 10,000,000?Hizo kodi mbona kawaida kwa mapori/hifadhi zote!
Mtu ana ng'ombe 100, sawa na elf 10 kila ng'ombe.
Its 100,000 per cow100X10,000 = 10,000,000?