Kinachoshangaza iweje Israel kaweza peleka ndege tena ndani ya Iran pamoja na zana na silaha zote ambazo Urusi na China wamepeleka?Baada ya mawiki ya kutupiana maneno na maandalizi ya pande zote 3 hatimaye Leo mtanange umeanza rasmi.....
1.tumeona mapema Iran ameanza kujibu na alisema ikiwa atashambuliwa basi asset zote za USA mashariki ya kati zitageuzwa target
2.rais Donald Trump ameapa atausambalatisha utawala wa ayatollah
3.tumeona awamu hii yanatumika mashambilizi ya makombora kuliko ndege kama mara ya Kwanzaa je USA anaogopa mifumo bora ya ulinzi au anatest Kwanza mitambo
Karibu......
Ripota wa kizayuni tulikumiss ngoja uone ISRAEL inageuka magofu kaa kwa kutuliaMbili haikai, hapa nashindwa niguse nini, niache kipi...kha yaani napata raha hadi naumwa.... Iran na makobaz wanapokea kipigo cha mbwa....
zitto junior adriz MOTOCHINI
Tunafatilia kwa wivu mkubwa mpaka mshindi apatikane. π«΅πΏBaada ya mawiki ya kutupiana maneno na maandalizi ya pande zote 3 hatimaye Leo mtanange umeanza rasmi.....
1.tumeona mapema Iran ameanza kujibu na alisema ikiwa atashambuliwa basi asset zote za USA mashariki ya kati zitageuzwa target
2.rais Donald Trump ameapa atausambalatisha utawala wa ayatollah
3.tumeona awamu hii yanatumika mashambilizi ya makombora kuliko ndege kama mara ya Kwanzaa je USA anaogopa mifumo bora ya ulinzi au anatest Kwanza mitambo
Karibu......
Ripota wa kizayuni tulikumiss ngoja uone ISRAEL inageuka magofu kaa kwa kutulia
tunaye wapi? Unaambiwa hayupo tehran wamemkimbiza mafichoni kusikojulikana kwa usalama wakeIran akiwa na Washirika thabiti atamudu. Lakini wakimgeuka atafurukuta tuu kwa muda ila kuanguka ataanguka.
Hapo siri ni uungwaji mkono tuu. Urusi na China wakimsapoti basi Ayatollah tunaye
Kinachonishangaza ni inakuwaje mashambulizi ya kushirikiana mataifa mawili yawe yamekaa kinyonge sana kulinganisha na mashambulizi yaliyofanywa na Israel peke yake katika siku ya kwanza katika ile vita ya siku 12!?Kinachoshangaza iweje Israel kaweza peleka ndege tena ndani ya Iran pamoja na zana na silaha zote ambazo Urusi na China wamepeleka?
tunaye wapi? Unaambiwa hayupo tehran wamemkimbiza mafichoni kusikojulikana kwa usalama wake
MkuuTunafatilia kwa wivu mkubwa mpaka mshindi apatikane. π«΅πΏ
ππππ Eti Raha mpaka naumwaMbili haikai, hapa nashindwa niguse nini, niache kipi...kha yaani napata raha hadi naumwa.... Iran na makobaz wanapokea kipigo cha mbwa....
zitto junior adriz MOTOCHINI
Wee muache tu Hawachelewi kulia Lia πRipota wa kizayuni tulikumiss ngoja uone ISRAEL inageuka magofu kaa kwa kutulia