Mechi hii si ya kuikosa ila naomba wazalendo wote tuitakie heri Azam na tuendelee kujuzana yanayojiri hapa
tunashinda goli moja litafungwa na Dumayo!
Dumayo au Dulayo?
Gemu ni sa ngapi?
Saa 17:00 kwa saa za Afrika mashariki.
Kampuni inaitwa Azam Media, station inaitwa Azam TV, channel inaitwa Azam TV 2, Kiwanja kinaitwa Azam Complex, Club inaitwa Azam FC na hapa nakunywa Azam Cola. Hawa jamaa kweli wamejipanga.
...hawa jamaa wamebaka uchumi Wa bongo kwelikweli, na huko Rwanda wamembaka mpaka mpinzani wao Azania...Kampuni inaitwa Azam Media, station inaitwa Azam TV, channel inaitwa Azam TV 2, Kiwanja kinaitwa Azam Complex, Club inaitwa Azam FC na hapa nakunywa Azam Cola. Hawa jamaa kweli wamejipanga.
Kulikuwa na tetesi za Azam airline!