Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

huyu mzee anaongoza kwa hekima sana

Huyo mwenyekiti Pandu Kificho ana upole na hekima iliyopitiliza ndio maana wanamdharau mzee wa ...."Hayaaaa tuendeleee" bila kujibizana na mijitu isiyojiheshimu sijui JK aliwachagua kwa random sampling au alizingatia uwezo wao? haya yanayotokea sasa hivi hakuyaona mapema wakati akifanya uchaguzi wake? wengi wa wajumbe wa CCM eg Sendeka wanajiona kwamba wao ni vinara ndani ya bunge na wanasema hovyo hovyo wakifikiri hakuna wengine wanaojua kusema hovyo? ngoja Mtikira atakapochoka nao atadondosha Nuklia ya uozo pale Bungeni na hapatakalika tena!
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Livingstone
Middle Name :
Joseph
Last Name:
Lusinde
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Mtera
Political Party:
CCM
Office Location:
Box 50, Dodoma
Office Phone:
+255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
llusinde@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
CCM College Ihemi
Certificate
2007
2008
CERTIFICATE
Mbigili Primary School
Primary Education
1980
1987
PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From
To
The Parliament of Tanzania
Member - Mtera Constituency
2010
2015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
2006
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
2006
2007
CHADEMA
Member - National Executive Board
1995
Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
1992
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary
 
kwa upande wangu mi naona ziito yuko sahihi,jambo maneno ake yamekuwa na ukali wa kuhatarisha amani:target:
 
Hizi nyaraka za siri za ofisi ya mheshimiwa zitawatokea puani.acheni kudurufu ofisi ya watu.
 
Du nilivyo shuhudia kwa mara ya kwanza bunge kwakweli milishtuka kwani lugha waliokuwa wanatumia ilikuwa kama la kundi la wahuni zomeya zomeya zilikuwa nyingi utakuta mjumbe anaongea badala ya kumsikiliza mjumbe yeye anawasha mic na kuongeya mada. Nyingine sasa hapo utasema bunge linanizamu ? Upihuzi mtupu
 

Kweli kabisa naungana na wewe kabisa kwa asilimia mia moja,kuna huyu m.j.i.n.g.a anaitwa SERUKAMBO mimi sijui anadhani kuongea sana ndo kujua sana,kiukweli simkubali kabisa,anaona akipigiwa makofi akadhani ameongea kitu cha maana,kumbe ni wingi wa wabunge wanaotoka katika chama chake ndo wanafanya ushabiki wa chama kudhani wanatengezeza katiba ya chama,my dear friends am happy the fact that huyu dada somebody SARUNGI anajaribu sana kuwaelewesha lakini kiukweli ni kama vile anapigia mbuzi gitar,majamaa hayasikii wala hayaelewi,nadhani sisi kama wananchi tutachokifanya ni kuipigia kura ya NO,then katiba iandaliwe baada ya uchaguzi wa 2015 kwani am sure wabunge wa CCM watakuwa wachanche na hapo ndipo tutapata katiba isyo na misukumo ya vyama
 

huyu ndo malaya wa kisiasa kabisa vyama vyote keshaingia.
 

Futa hii imekaa vibaya, tayali wameshaweka vizuri mwanzo tu...
 
Waungwana najaribu kuutazama mchakato wa kupata katiba mpya kule dodoma kwa namna unavyoendeshwa nachelea kusema sihitaji na hakuna haja ya kuwa na katiba mpya.Wajumbe takribani 700 wanachokifanya hata hakifanan na matarajio naomba aliyewateua asitishe uteuzi wao tubaki na katiba hii ya kina nyerere wanamaliza rasilimali zetu kwa mambo ya kijinga
 
Idd Azani Kasoma Qt na Anne Kilango na Mke wa Karume Zanzibar teh! teh! teh! teh!
 
Mbigili Primary School teh! teh! teh!
 
Inamaana kwa vile ni mbunge wa CCM hata aliyotenda leo huyaoni. Ama kweli CCM inao wapiga debe maha.wani kabisa. Wewe ni mmoja wapo.


Sent from my iPad using JamiiForums

mkuu hyo hata kama anapakuliwa kinyec na mwigulu anatamani cnn wamuoneshe live.
 
Wabunge watukutu ambao ni chanzo kikuwa cha

-kuharibu mijadala,kashifa,dharau na udhalilishaji kwa wasio wa ccm

-kulazimisha hoja za kishenzi hatakama hazina mashiko, base wala kichwa

1. Olesendeka

2. Serukamba

3. .Akonda

4. Umi mwalim

5. Dr zainabu gama

6. Hamisi kigwangala

Kwaujumla waanzilishi wa vurugu na kulazimisha hoja ni wajumbe wa ccm
 
Leo kanikela sana ndio chanzo cha bunge kuhailishwa... eti ana mapigo ya kutisha, naona makelele tu na kurudia hoja za wenzake ndio mapigo....

Malliya ajiandae vizuri ammungoe 2015,

mallya yup mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…