vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,845
- 2,258
huyu mzee anaongoza kwa hekima sana
Huyo mwenyekiti Pandu Kificho ana upole na hekima iliyopitiliza ndio maana wanamdharau mzee wa ...."Hayaaaa tuendeleee" bila kujibizana na mijitu isiyojiheshimu sijui JK aliwachagua kwa random sampling au alizingatia uwezo wao? haya yanayotokea sasa hivi hakuyaona mapema wakati akifanya uchaguzi wake? wengi wa wajumbe wa CCM eg Sendeka wanajiona kwamba wao ni vinara ndani ya bunge na wanasema hovyo hovyo wakifikiri hakuna wengine wanaojua kusema hovyo? ngoja Mtikira atakapochoka nao atadondosha Nuklia ya uozo pale Bungeni na hapatakalika tena!