Nadhani Mtikila kuna hitilafu mahali fulani kichwani. Wenzake wote wamesimama yeye tu amebaki amekaa wakati wa dua.
Hakika Mkuu.
sitta amesema Luna engine hawezi yasema mpaka aapishwe unafiiri ni yap?kwa nini?mwenye uwezo Wa kumuwekea zengwe zengwe asiapishwe ni ccm so anasubr aapishwe ili awaambie hatafuata matakwa ya chama
Halafu wewe hata Bunju hujaenda!! Nendeni mkasome albadili labda mtapata hata nafasi ya 4.
Mtikila muhuni tu. Wenzake wamesimama kwa sala yeye amekaa. Huyu mtu bhana.