Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

...wadau kwa Obama kwa lipuliwa...!
BiiCH45CcAAZd3o.jpg:large

An explosion occurred today in a building in Manhattan's East Harlem neighborhood, collapsing at least part of the structure and injuring at least 11.
Plumes of thick smoke have engulfed the area around the building at 116th Street and Park Avenue after residents reported hearing a loud explosion around 9:30 a.m.
 
Kbm usituchanganyie habari hii handing inaendana vipi na ulichokiweka?
 
sitta amesema kuna mengine hawezi yasema mpaka aapishwe unafikiri ni yap?kwa nini?mwenye uwezo Wa kumuwekea zengwe zengwe asiapishwe ni ccm so anasubr aapishwe ili awaambie hatafuata matakwa ya chama
 
Mimi ninawasiwasi na wajumbe, najua bunge limeja jaa wasomi wengi na waelewa ambao tuna wakubali, lakini kwahili la kualibika kura saba bado sijalipatia ufafanuzi tena linatia haibu sana. Ongera mh sitta kwa ushindi.
 
sitta amesema Luna engine hawezi yasema mpaka aapishwe unafiiri ni yap?kwa nini?mwenye uwezo Wa kumuwekea zengwe zengwe asiapishwe ni ccm so anasubr aapishwe ili awaambie hatafuata matakwa ya chama

Ninachoweza kusema ni kua siri ya mtungi aijuaye ni kata na adhabu ya kaburi aijuaye ni maiti, tusubiri tuoni nini atasema japo ubashiri wako waweza kujumuishwa ndanimwe
 
Samweli sitta kuliongoza bunge la katiba baada ya kumbwaga mpinzani wake Hashim Rungwe dhidi ya kura 487 kwa 69
 
baada ya ushindi wa Sitta
niliwaskia wakiimba sitta sitta.. Then wakaendeleza Wengine Lowasa Lowasa!!!!!!!
hapa sikuelewa kwa nini wimbo huooo??? Au ndio wapambe wa mbio za urais wameshaanza kufanya NUKSI zao waziwazi???
 
Mtikila muhuni tu. Wenzake wamesimama kwa sala yeye amekaa. Huyu mtu bhana.

Mnaamini zile ni sala za kusikilizwa? Ni Mungu yupi anayeombwa? Wa serikali, wa islam, budha, pagan au wa kristo? Kama Mungu ni mmoja kwa nini hao wote watofautiane?
 
Kuna kura 7 zimeharibika hii inaashiri kuna wawakilishi mambulula na mizigo ndani ya bunge la katiba ... ni hatari.
 
Hongera mzee wa standard tunategemea utuongoze kupata katiba bora. Hekima mbele sheria baadaye
 
Anaweza akawa tayari amechakachuliwa, chezea mafisadi???
Hapo ndo tiketi yake ya kuwa rais kama atakuwa upande wa wazalendo wanaoitakia mema nchi hii.
 
Back
Top Bottom