Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

Dua inasomwa na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ya kushukuru
 
Shughuli ya mwisho ni dua ili kumshukuru Mwenyezi Mungu inasomwa na kificho
 
Tangazo linatolewa kuwa akina Lowasa, Januari Makamba, Benard Membe, Magufuli, Wasira, Ngeleja na Sitta wakutane Dodoma Hotel

sidhani kama kuna ukweli wowote kuhusu tangazo hili.!!!
It is just like spoofing message.
 
Jaman kuna kisomo kwa mh. Rage cha arobadili kwa ajili ya simba
 
Nadhani Mtikila kuna hitilafu mahali fulani kichwani. Wenzake wote wamesimama yeye tu amebaki amekaa wakati wa dua.
 
He has also served as the Speaker of the National Assembly of Tanzania from 2005 to 2010.[SUP][2]
[/SUP] He was elected to succeed Pius Msekwa as speaker on 26 December 2005.[SUP][3]
[/SUP] He is a member of the majority Chama Cha Mapinduzi party, represents Urambo Mashariki,
he has previously been member of parliament since
1975 to 1995.
He also was previously the director-general of the Tanzania Investment Centre.
[SUP][3]
[/SUP] Currently he serves in the Cabinet as Minister of East African Cooperation.
Na huyu ndio Mzee Sita maelezo kwa hisani ya wikipedia kwa waliozaliwa ....
 
Hadi kufikia hapa mimi kwa niaba ya wana jf wenzangu hasa Chabruma hatuna la ziada. Hadi wakati mwingine, mimi ni Skype wa jf, kwaherini.
 
Last edited by a moderator:
Bunge limekuwa la ovyo sana, mwenyekiti Wa muda bw. Kificho anatoa matangazo bila kufikiri mantiki ya tangazo lenyewe. Hakika kificho kaonyesha sura halisi ya wazanzibar. Ni mzigo kuongozwa na watu hao, sipo tayari tena kurudia makosa.
 
Sitta, ninakupa ushauri wa bure! You talk too much! Kificho ameweka standard mpya ya Spika (Mwenyekiti), so be careful, kazi yako ya nyuma inaweza kuingia mchanga. Biblia inasema katika MITHALI 10:19,"Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu; bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili." Kificho yuko makini, hasemi maneno mengi, na ni mwangalifu sana katika kuchagua maneno ya kuzungumza. Mind you, kwa kila jambo sasa utapimwa katika mizani na kulinganishwa na Mwenyekiti wa muda, Kificho, na wala siyo Makinda! Mwenyekiti wa kudumu anatarajiwa na wengi, awe na uwezo na hekima zaidi, kuliko Mwenyekiti wa muda! Kumbuka kwamba kuanzia sasa, kila neno lako moja, lina tafsiri elfu moja, kwa maadui zako, na marafiki zako wa zamani! Neema ya Mungu ikufunike!
 
Back
Top Bottom