Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

Tukiwa shule walimu walitumia adhabu ya viboko kudhibiti kelele na fujo darasani sasa kwa kuwa wabunge wa bunge la katiba wamekosa nidhamu kabisa bila shaka adhabu ya viboko inawafaa sana kwani hawamuheshimu kiongozi wa bunge hilo.
 
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
images

[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Mwenyekiti wa Bunge Mh Samwel Sitta Amelazimika Kuhairisha Bunge Jioni Hiii mara baada ya Kutokea Vurugu.Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katika Jaji Joseph Sinde Warioba Alitakiwa kuwasilisha Rasimu ya Pili katika Bunge Hilo.Wajumbe wa Bunge Walipoingia Ukumbini Ndipo Mwenyekiti wa Bunge Mh Samwel Sitta Alipomwita Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mh Jaji Warioba ,
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]HABARI KAMILI[/FONT]
 
Hivi chanzo ni nini maana TBC walichelewa kujiunga so wadau mliopo Dom hebu tupeni taarifa za kina.
 
Weee nawe zuzu kweli, warioba hakuzomewa... kilichotoke wajumbe wamekata warioba asiseme chochote haondoke hili Jk Ndio anze kuongea... kama kanuni zinavyosema.

Sita akalazimisha warioba akapigiwa makele hasionge basi.
 
Mkuu nini kinaendelea huko, naona utabiri wako unatimia kuwa inawezekana leo kukatokea mgawanyiko mkubwa.!
Bunge ni kama "limevunjika". Sitta anasema ameliahirisha hadi baadae. Wajumbe hawakuruhusu Warioba kuongea hata neno moja ingawa alisimama kwenye podium.
 
Hata mimi hivyo hivyo sijajua tatizi jamami mwenye kufahamu hili ajulishe
 
Samwel Sita hawezi kuongoza bunge hili maana ni mbabe. Kama pana mtu aifahamuye historia yake atupie kwa kumbukumbu. Mie nakumbuka awamu ya kwanza aliporomoka mpaka kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa na kusafirishwa kwa lori toka Iringa mpaka kwao Urambo mpaka mzee Mwinyi alipomuinua tena kisiasa.
 
mm pia. tunaomba mtujuze kunani huko mjengoni? mbona ni kama opposition tu ndio walipiga meza?
 
Kuna tetesi nambiwa hapa eti Warioba ameshindwa kuwasilisha Rasimu baada ya Wajumbe baadhi kuzomea....na Bunge limeahirishwa !.
hEBU TUPENI HABARI ,WENGI BADO TUPO OFISINI

Nimetune star tv nikakuta mchungaji mtikila akiwa amesimama, anagonga meza, na wajumbe wengine wengi wakapokea kugonga meza. Wakati huo Sita alikuwa akimkaribisha Warioba. Mwanzoni nilidhani ni furaha na heshima ya wabunge kwa mh. Warioba. Lakini hata alipofika kwenye mic kelele zilizidi akabaki ameduwaa tu. Spika amelazimika kuahirisha bunge
 
Kuna tetesi nambiwa hapa eti Warioba ameshindwa kuwasilisha Rasimu baada ya Wajumbe baadhi kuzomea....na Bunge limeahirishwa !.
hEBU TUPENI HABARI ,WENGI BADO TUPO OFISINI
Ni kweli mkuu makelele yalikuwa mengi mno!hadi imemlazimu mwenyekiti kuhairisha kikao hadi itatakapotangazwa tena.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mwenyekiti amelazimika kusitisha shughuli za bunge leo jioni baada ya wabunge kukataa kusikiliza hotuba ya mwenyekiti hii inaonesha pia Warioba ameamua kugoma kusoma kwani wazo la Sita lilikua isomwe tu.
Bunge limehairishwa kwa muda.

Kweli hili ni Bonge la Katiba. Sasa kama hawataki awasilishe wanataka afanyeje? Rais angelivunjilia mbali bonge hili akaanza mchakato upya. Six alisema katiba tutaipata kwa wakati...Achunge maneno yake.
 
jamani bunge limeairishwa kwa muda usiojulikana kutokana na wajumbe kugoma kukaa chini huku wakiendelea.kupiga kelele.
 
Kuna tetesi nambiwa hapa eti Warioba ameshindwa kuwasilisha Rasimu baada ya Wajumbe baadhi kuzomea....na Bunge limeahirishwa !.
hEBU TUPENI HABARI ,WENGI BADO TUPO OFISINI
Ndivyo alivyo fanyiwa, baadhi ya wabunge wakiongozwa na Mtikila wamesimama na kuanza kupiga meza huku wakionesha hali ya kutokukubali Jaji Sinde hasisome rasimu bungeni.
 
Punde nimefungua TBC Tv channel nilichokishuhudia ni wajumbe kumshangilia jaji Warioba mfululizo kwa kugonga meza bira kikomo mpaka speaker akaamua kuvuja kikao. nini kilitokea?// naomba mnijuze wana jamvi
Wajumbe wamesikika wakimtaka mwenyekiti afuate kanuni vinginevyo hakuna kitakachoendelea!
 
Hajazomewa isipokuwa baadhi ya
wajumbe walikuwa wanataka kwanza rais azinduwe bunge then walioba awasilishe rasimu
 
Back
Top Bottom