Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
nahisi kuna mtu ataangusha chozi leo, pia namuona werema akisimama km mwanasheria na kuzuia mjadala. Pia nahisi makinda yupo njia panda. Kwa mbali namuona ndungai na totoz la kifaransa huku anaangalia bunge anacheka kwelikweli.

Hofu yng huenda matarajio ya wengi yakawa tofauti na kitakachotokea leo bungeni. Mimi sina imani na mhimili wowote coz hawajamaa wanaweza wakacheza sarakasi.

Ila nategemea leo bunge litakuwa limejaa tofauti na siku za nyuma.
 
Jamani redio gani itarusha hizi sarakasi moja kwa moja?
 
Hayawi hayawi hatimaye siku imefika yakujua mbivu na mbichi!!! plz wabunge itendeeni haki nchi hii
 
baado dakika chache tu tujiunge rasmi na bunge letu kusikiliza nini kinajili bungeni. Werema ndiyo atajua leo kama kichwa ni kwa ajili ya kufugia nywele au kufikiri?
 

Kamati ya Uongozi, baadhi yao si ndiyo samepigwa na Mpunga wa Kyela au?
 
Nimekimbia kazini kuna fujo nimejibania ndani mh leo pagum
 
Mbona kamati y uongozi wameitwa au ndo wanataka kuutoa mjadala??
 
Kamati ya uongozi kukutana saa 3 asubuhi hii, mwenyekiti wa bunge mhe. Iddi azzan ametangaza
 
Kituo gani cha redio kinarusha mjadala wa leo? Msaada tafadhali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…