Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Kusoma hayo majina ni kuzidi kupoteza mda
Naona Makinda amesimamia msimamo wake kuwa bunge haliingiliwi na mtu yeyote!
Hiyo kazi haikua ya mtu mmoja.Kusoma hayo majina ni kuzidi kupoteza mda
Chaumuhimu hapo iisomwe! Huyo bimkora atulize mapepe yake kwanza.Naona spika kaanza kwa jazba
Hadi raha, kuanzia leo nabadilisha username instead of Namanyele naitwa Escrow Account, nimemaliza
Kusoma hayo majina ni kuzidi kupoteza mda
Kufanya kazi na mzungu shida sana kanibana wakati nataka nijongee karibu na TV ye ananijazia mikaratasi tu mezani.
Ngoja nitulie nasikiliza kupitia tbc redio