Filimbi imepulizwa. Mechi ya fainali ndio hiyoo. Ngoja tuone Tumbili vs Mwizi nani atashinda!! Mashabiki wa pande zote hamu ipo juu si kawaida. Mimi na "mug" langu kubwa la kahawa na haka kabaridi ka Shinyanga leo, sipepesi jicho hata kidogo.
Ngoma inogile!!!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.