Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
Mimi nawaambia hakuna mjadala na tayari kikao cha kamati ya uongozi kimeitishwa na spika asubuhi hii.

Narudia,hamna mjadala hapa.Spika atakuja kutangaza msichokitarajia.

Pasco hili ni swala la muda tu.

Hii ni conspiracy imefanywa kitaalamu sana na watawala.

Hii nchi ni usanii mtupu.
 
Last edited by a moderator:
hii nchi vituko sn watu wamekula bilioni 321 halafu hospitali ya rufaa tumbi inadaiwa bilioni 2, jamani mbn pinda na watu wake hawana huruma?
 
tanesco ni wahanga wa hili jambo kwahiyo inabidi wajitahidi umeme uwepo ili tujue ukweli tupunguze kuwalaumu
 
Matalajio ya wananchi na kitachoenda kutokea ni tofauti kabisa....😛olitics is the politics and it will remain as it is..
 
Mbona mnaweweseka sana.......tulieni mnyolewe
 
Mambo yameanza vyema, katibu wa bunge kaarifu ripoti imewekwa mezani. Sasa kamati ya uongozi inakikao tusubir tuone baada ya maswali na majibu itakuwaje.
 
Eee Mungu wakuu wa stima wasifanye yao leo mwee!
 
 
Naona dalili yakuto kuwepo kwa mjadala! hata wabunge hawaonekani bungeni na Makinda kakimbia kiti!
 
mahakama wanaota ndoto za alinacha!
 
Upo sahihi, ndivyo katiba isemavyo. Bunge lisipojadili tujue kuwa Makinda naye hataki Escrow ijadiliwe lakini siyo kwa kuogopa kuvunja sheria yoyote ile au katiba ya nchi.

 
Duh! Bi mkora atakaa kwenye kiti baadae au! Naona wamemuweka Zungu. Kazi kweli kweli. Hii kitu nina mashaka nayo kama itajadiliwa!
 
Kwa anaetaka kusikiliza bunge kuitia redio frequency ni 87.5MHz (kwa walioko Dar es Salaam)!
 

Kila mhimili unajukumu la kuwajibisha mhimili mwingine/mwenzake. Lakini pia Kila mhimili unapaswa kutambua mipaka(miisho ya kutoingilia) kazi za mhimili mwingine.
 

Hili swala liko wazi kabisa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…