Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
Hivi TBC radio hawaleti matangazo ya bunge siku hizi. Naomba kwa anayejua anitaarifu
 
Wewe Pasco kilaza na mpuuzi. Bunge haliwezi kuamrishwa na mahakama ikiwa Bunge ni chombo cha kutunga sheria. Kikatiba Bunge ni mamlaka kamili. Hao majaji wametoa amri ambayo no null and void.

Au unataka ripoti ya IPTL isijadiliwe bungeni?
 
Kwa wale wanaotaka kujua radio gani zinarusha matangazo ya moja Kwa moja tokea bungeni Dodoma.Kwa walio Dar tune 87.5 fm.
 
pia kuna radio inarusha unaweza ukasikiliza kwa hapa dar frequency zake ni 87.5 sijajua bado ni redio gani
 
 
Hakika hii kitu haiwezi jadiliwa, vinginevyo Bunge litaandika historia ya aina yake, kwa kudharau muhimili mwimgine.
 
Mkuu Magazetini,jee hati ziliwasilishwa mezani?!.

Pasco
 
Naona dalili yakuto kuwepo kwa mjadala! hata wabunge hawaonekani bungeni na Makinda kakimbia kiti!

Kama Makinda hatokalia kiti, basi nitakuwa nimejiridhisha jinsia Ke kwenye mambo mazito na nyeti hawawezi simamia au kufanya maamuzi. Atakuwa ni muoga. Mwenyekiti atakuwa kapewa maelekezo kama mwanajeshi kwenda kufanya A, B na C. No offense kwa jinsia Ke!
 

Umekaribia kuchanganyikiwa kabisa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…