VunjaMfupa
Senior Member
- Feb 7, 2014
- 122
- 78
Kama kawaida yao ikifika saa kumi na mbili wataanza ooo njaa zinauma, mara ooo twende tukale, mara ooooo.... yaani blah blah kibao ila kodi zangu wanaziteketeza bure kabisa yaani nikifikiria PAYE, VAT na makodi mengineyo ya ajabu ajabu nakosa raha kabisa.
Labda kwa kua miafrika ndivyo tulivyo? Nyani Ngabu hebu kuja hapa utupe maoni yako kuhusu mwenendo wa wajumbe wetu walioko bungen.
TBC hivi kwa nini hii hotuba inarudiwarudiwa imeshasababisha nikakosa session ya bunge. Wawekeeni hao wabunge ndani ya bunge. Mimi nimeshasikia Mara ya 7 sasa. Na iko hewani sasa badala ya session ya Bunge.

Mkuu, hapa ukumbini mambo bado hayajaanza. Kuwa mvumilivu mkuuTBC hivi kwa nini hii hotuba inarudiwarudiwa imeshasababisha nikakosa session ya bunge. Wawekeeni hao wabunge ndani ya bunge. Mimi nimeshasikia Mara ya 7 sasa. Na iko hewani sasa badala ya session ya Bunge.
Wadau, taarifa nilizopata hivi punde ni kuwa Kile kikao cha Kamati ya Maridhiano bado kinaendelea. Wajumbe wote 28 wanaounda kamati hiyo bado wanaendelea kutafuta muafaka wa namna nzuri ya kupitisha vifungunvya 32 hadi 43. Vuteni subira na kila nikisikia au kuona jambo lolote nitawajuza
Poa Rafiki tujuze, sijui unaandikia chooni, take care tusije kosa habari.
Saa 10 na dk 15 bado tu jamani
Wadau, taarifa nilizopata hivi punde ni kuwa Kile kikao cha Kamati ya Maridhiano bado kinaendelea. Wajumbe wote 28 wanaounda kamati hiyo bado wanaendelea kutafuta muafaka wa namna nzuri ya kupitisha vifungunvya 32 hadi 43. Vuteni subira na kila nikisikia au kuona jambo lolote nitawajuza
Hatukutegemea hiyo Kamati ya maridhiano ifikie mwafaka mapema hivyo. Hata hivyo wajumbe wake hawakukaa kimaridhiano, wengi ni wale wanaojulikana kwa Shari! Hili la theluthi mbili sijui maelezo yake ni yapi kwa sababu sheria ya kura za maoni na mabadiliko ya Katiba nilifikiria linaelekeza hivyo?Nipo ndani ya bunge now na ccm wamemaliza mkutano wao soon kwa kukataa katakata kura ya siri katika maamuzi yote na kutaka kura ya wazi. Aidha ccm pia wamekusudia leo hii kurudisha nyuma kwa kutengua kanuni ya upitishaji maamuzi ili iwe nusu ya wajunbe wa zanzibar na nusu ya watanganyika na kuifuta theluthi mbili iliyokubalika na kupitishwa.
Kamati aliyounda kificho ya maridhiano imeshindwa kukubaliana na hadi ninapotuma andiko hili bado kikao kinaendelea cha kamati ya maridhiano kujua cha kuganya kwani kikao huenda kikavunjika mapema leo.
Endeleeni kusubiri zaidi
Hilo bunge limenajisiwa na uwepo wa wanasiasa.
Bora livunjwe na hizo hela zikanunulie madawa na kutengeneza madawati.