Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga



Ni kweli jengo la manispaa limepigwa moto?
 
wana jf
nimepata taarifa kwamba alietoa maelekezo ya uchakachuaji wa kura za shinyanga mjini ni Ridhwani ndie wa kulaumiwa kwa vurugu na matukio ya jana hivi sasa nipo hapa shinyanga sasahivi taarifa nilizopata ni kwamba Dogo alitoa maelekezo hayo ambayo yamefanya swahiba wake atangazwe ameshinda shinyanga mjini kwa kura 58 zaidi ya mgombea wa Chadema.

Vurugu na anguko la ccm ni matokeo ya huyu mungu mtoto wa tanzania.
 

M-bongo

Hii ni habari nyeti: Je, waweza kutafuta data za kura za kila kata zilizosainiwa na mawakala, kisha utuwekee hapa jamvini? Itasaidia sana. Hii itaondoa imani kabisa ya wananchi kwa serikali iliyopo madarakani kama ni kweli.
 

Kwani mkurugenzi wa Halimashauri ya Shinyanga ni roboti? Hana ubongo. Ridhiwani ni tatizo lakini Mkurugenzi ni tatizo kubwa. Anastahili lawama zote.
 
M-bongo

Hii ni habari nyeti: Je, waweza kutafuta data za kura za kila kata zilizosainiwa na mawakala, kisha utuwekee hapa jamvini? Itasaidia sana. Hii itaondoa imani kabisa ya wananchi kwa serikali iliyopo madarakani kama ni kweli.


Yap. Hiyo ndiyo dawa. With such kind of information, assume genuine, bado CCM hawajashinda.
 
Hata Mwanza alitoa maelekezo hayohayo baada ya kukaa na Mkurugenzi wa Jiji Bw.Kabwe. Nasikia hata Baba yake Kikwete alikuwepo,Lowassa na Masha.Mwanza walinusa harufu ya machafuko mapema kwa hiyo wakaamua kutangaza matokeo baada ya njama za kuchakachua kubainika.

Hakika Kikwete ATAJUTIA PUUZI WA KUMTUMIA MWANAWE RIZ1 KWENYE MBINU HIZI CHAAFU ZA KUTAKA KUHARIBU KURA ZA CHADEMA.

Marehemu Nyerere kuna siku alisema, nanukuu: ''HATUTAKI KUPELEKA MTU IKULU AMBAYE ANAWEZA AKALALA NA MKE WAKE NA KESHO YAKE ANAKUJA KULITANGAZIA TAIFA JUU YA JAMBO FULANI ALILOSHAURIWA NA MKEWE. HUYO MTU HATUFAI''

Hii ina maana kwamba Ikulu si mahali pa kuweka mtu anayesikiliza USHAURI WA MKEWE NA KUUTUMIA KUONGOZA NCHI!!!!
Kiwete anaonekana ni mtu anayeongoza kwa kufuata ushauri wa mkewe. Hiyo ndiyo hali halisi.
 
Kweli huyo mtoto ridhwani anatafuta balaa kwa watanzania. Siku zao is numbered and they will pay for each and every blood shead by tanzanians. Alaniwe kweli na vizazi vyao vyote
 
kweli huyo mtoto ridhwani anatafuta balaa kwa watanzania. Siku zao is numbered and they will pay for each and every blood shead by tanzanians. Alaniwe kweli na vizazi vyao vyote

anafikiri nchi hii ya tanzania ni zao laahasha nchi ya tanzania sio ya kifalme bali ya watanzania yeye, baba yake na mama yake waache ngazi watanzania do not want them and if they have to rule us tutaingia msituni kwa ulazima
 
Kwani mkurugenzi wa Halimashauri ya Shinyanga ni roboti? Hana ubongo. Ridhiwani ni tatizo lakini Mkurugenzi ni tatizo kubwa. Anastahili lawama zote.

Kuna siku nilisema hapa kwenye mtandao kwamba katika pitapita zangu niliingia ofisi ya Jiji na nikasikia Mkurugenzi wa Jiji anaomba kuunganishwa na watu wa IT-TUME YA TAIFA. Mimi nilijuuliza huyu Mkurugenzi anawatakia nini watu wa IT-NEC?????

Sasa hivi ndiyo imedhihirika wazi kuwa HAWA WAKURUGENZI WA MAJIJI NA HALMASHAURI ZA MIJI AMBAO KISHERIA NDIYO WASIMAMIZI WA MAJIMBO YA UCHAGUZI,WAMETUMIKA SANA KUIBEBA CCM.

KUNA HAJA YA WATU HAWA WASIWEKWE KWENYE USIMAMIZI WA UCHAGUZI MKUU KAMA HUU. HAWA NI WAAJIRIWA WA SERIKALI NA LAZIMA WATATEKELEZA MAELEKEZO YA BOSI WAO(SERIKALI+CHAMA TWAWALA-CCM).
 
Ndio hivyo tena tumeshaingia kwenye usultani. Huyo ni mtoto wa mfalme. Mi nashangaa kwa nini huyo jamaa ridhiwani ana kimbelembele sana. MBONA MTOTO WA MWINYI YUKO KWENYE SIASA LAKINI HANA MAKEKE INGAWA NI MSOMI MZURI KULIKO HUYU JAMAA!
 
labda anaitwa Hirizi-One halafu tunahangaika bure kumbe mtu mwenyewe matatizo
 
kafie mbali mywa gongo wewe ridhiwani

Viongozi wa Shy Manispaa wamejidhalilisha pia wametukanisha taaluma zao haingii akilini kuingiliwa kiutendaji kazi na riz wani au makamba (hawana jipya ni viherehere tu) ambao si watumishi wa nec wala hawatambuliki kutoa maamuzi kikatiba isitoshe hii inaonyesha jinsi watendaji wengi hapa TZ wasivyojiamini na wanatekeleza majukumu yao wakilenga kukibeba chama tawala bila kujali madhara/gharama itakayojitokeza. Sisi wadau tunawabebesha lawama pamoja na kuomba wawajibike na hasara zote zilizosababishwa na vurugu zilizojitokeza. Mwisho wanatakiwa watangaze matokeo ya kura zisizochakachuliwa ili kuleta amani katika mji huu MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TZ MUNGU IBARIKI SHY AMEN
 
Pendekezo langu ni kuwa hawa jamaa wanaotekeleza upuuzi huu wa uchakachuaji kwa gharama ya maisha ya watanzania, si tutabaki nao viwanja ! tuwashughulikie wakati hao walio wabeba wana-enjoy kwenye viyoyozi, sisi huku lazima watutambue, tuwashughulikie !:A S angry:
 
TUMEZALIWA ILI TUFE. Kama data walizonazo mawakala zikajumlishwa kwa makini na ikaonekana mgombea wa CCM ameshindwa kwanini huyo Mkurugenzi wa Jiji asiwe marehemu!
 
ndio nimeingia shinyanga. Wananchi wanapinga kuchakachuliwa kura. Polisi wapiga mabomu ya machozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…