Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli wakuu matokeo ya shinyanga yana utata. wananchi walikuwa wamekusanyika ofisi ya manspaa. wakadanganywa chadema kashinda wakaondoka wanashangilia mitaani. mimi nilikutana na kundi kubwa. so walipotoka tu matokeo yakabadilishwa, ushindi ukaenda ccm.
wana jf
nimepata taarifa kwamba alietoa maelekezo ya uchakachuaji wa kura za shinyanga mjini ni Ridhwani ndie wa kulaumiwa kwa vurugu na matukio ya jana hivi sasa nipo hapa shinyanga sasahivi taarifa nilizopata ni kwamba Dogo alitoa maelekezo hayo ambayo yamefanya swahiba wake atangazwe ameshinda shinyanga mjini kwa kura 58 zaidi ya mgombea wa Chadema.
Vurugu na anguko la ccm ni matokeo ya huyu mungu mtoto wa tanzania.

M-bongo
Hii ni habari nyeti: Je, waweza kutafuta data za kura za kila kata zilizosainiwa na mawakala, kisha utuwekee hapa jamvini? Itasaidia sana. Hii itaondoa imani kabisa ya wananchi kwa serikali iliyopo madarakani kama ni kweli.
kweli huyo mtoto ridhwani anatafuta balaa kwa watanzania. Siku zao is numbered and they will pay for each and every blood shead by tanzanians. Alaniwe kweli na vizazi vyao vyote
Kwani mkurugenzi wa Halimashauri ya Shinyanga ni roboti? Hana ubongo. Ridhiwani ni tatizo lakini Mkurugenzi ni tatizo kubwa. Anastahili lawama zote.
kafie mbali mywa gongo wewe ridhiwani