Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Ngoja tupunguze stress za vyuma kidogo maana hali tete kila siku wikiendi hii mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Jana ilianza hivi mambo ya Iyena hayoo...

Leo diamond kaamua kujibu

Haitoshi hamisa Leo bubu kaamua kaamua kusema

Daah!hongera diamond and your family mnajua kucheza na akili zetu watanzania

Na hizi stress za Magu na hali ngumu acha umbea ututawale ili tujifariji kimaisha!
 
Hawezi oa diamond na mke wa kumuoa yapaswa ajipange haswaa asiwe mpole,awe jeuri kichaa kushinda wao
Kama huyu alivyoshauri[emoji116] View attachment 792066
Mganda ndio aliwaweza. Isingekua drama za diamond mganda wangepambana chezea iddi amini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sepenga kaona ajipendekeze tu ili awe nao vizuri.
 
Akitoka tununu anakuja Lynn. Halafu ulikaona kale katoto walikosemaga mdogo ake tunda, naye atafata baada ya Irene.

Yani maisha haya ukiwa upenuni usimcheke aliyeko gizani
Sana tu yaani ile familia ni kiboko [emoji2] [emoji2] [emoji2] diamond hatokaa aoe akisikiliza ndugu zake!

Atapata watoto wa nje tu!

Halafu walichonichosha ni mwezi wa ramadhani wanapretend kufunga jamani

Mwezi mtukufu huu tena ni waislamu hata kama kick imezidi...!!

Ila ile familia sio ya kuolewa hata ndotoni!
 
Mganda ndio aliwaweza. Isingekua drama za diamond mganda wangepambana chezea iddi amini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sepenga kaona ajipendekeze tu ili awe nao vizuri.
There u r...!yule kiboko yao ndo maana aliweza kuzaa two kids mpk amechemka yeye basi hakuna wa kuwaweza!

Zari utu uzima nao ulimsadia bi Sandra hawezi kukubali mwanawe aoe mke yoyote yule
 
Shida ya familia hiyo ni Kardashian wannabe. Ndio maana drama kuanzia mama mpaka watoto.
Lakini drama za kina Kris Jenner sio sawa na uchafu wa dangote clan.
 
Shida ya familia hiyo ni Kardashian wannabe. Ndio maana drama kuanzia mama mpaka watoto.
Lakini drama za kina Kris Jenner sio sawa na uchafu wa dangote clan.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sawa sawa yaani hawa wanatamani life la kina Kardashians

Tatizo uswahili umewazidi mnoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…