Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

aiseeee basi jamaa atawatembezea dudu mabinti mpaka kufa kwake
Ukiwa na binti usijekubali aolewe na mwanaume aliyelelewa na mama peke yake

Mark my words! 95%wabinafs!
 
Ngoja tupunguze stress za vyuma kidogo maana hali tete kila siku wikiendi hii mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Jana ilianza hivi mambo ya Iyena hayoo...
Kuna muda unatakiwa kuondoa stress ili siku ipite salama....ukisema ufatilie mambo Serilali ya JPM au ya CCM na CHADEMA kila siku unaweza ukapata vidonda vya tumbo bila sababu....
 
Ukiwa na binti usijekubali aolewe na mwanaume aliyelelewa na mama peke yake

Mark my words! 95%wabinafs!
nimekusoma huo ujumbe hapo chini
ila hapa ndipo napomkubali alikiba na kauli yake ya personal issue
 
Daa.. bora yangu huo mtandao wa inst hata sijui unatumiwaje inaongesha uko ki umbea umbea sana
 
hahaha haka katoto

kapuuzi sana kana-enda kuropoka ndo maana hiyo familia imemchaaamba mama anasema ni mchafu koge wifi anasema hili na lile wamemsifia zari na wema misa ana damu ya jini maiti ha ha

pale mswahili anapokutana na mswahili mwenzie ni kasheshe mama dai mara amkate mitama mara amuite mbu ha ha ha sasa huyu msichana kwani ni lazima awe na dai? ila nadhani mwanamume mwenye akili tiamu hawezi kuwa na hamisa ni kahaba OG kama wale wa pale kona na nk
Hata zari alimsemaga kua ni mchafu. Akija bongo anakuta choo kichafu, chumba kichafu, kitanda hakijatandikwa vizuri na akamuuliza kama hivi tu hufanyii usafi what about the puchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimekusoma huo ujumbe hapo chini
ila hapa ndipo napomkubali alikiba na kauli yake ya personal issue
Inamsaidia sana Ali K mziki wake
Ameuweka mbali na familia yake!

Diamond hyo inamgharimu sasa hivi..
 
Hata zari alimsemaga kua ni mchafu. Akija bongo anakuta choo kichafu, chumba kichafu, kitanda hakijatandikwa vizuri na akamuuliza kama hivi tu hufanyii usafi what about the puchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
haha pale bi mkubwa anapomchamba bi mdogo hihihi misa amekuwa mdogo hawa wamanyema ni hataree
 
Hata zari alimsemaga kua ni mchafu. Akija bongo anakuta choo kichafu, chumba kichafu, kitanda hakijatandikwa vizuri na akamuuliza kama hivi tu hufanyii usafi what about the puchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ina maana zari na hamisa walikua wanajuana kama wanalala wote kwa jamaa.....huyu akienda kwa madiba hamisa anaenda madale
 
ina maana zari na hamisa walikua wanajuana kama wanalala wote kwa jamaa.....huyu akienda kwa madiba hamisa anaenda madale
Zari aligundua baada ya hamisa kuacha vitu zake kama hereni. Hamisa si alikua anajua kama zari yupo na diamond maana ilikua ni couple maarufu
 
Back
Top Bottom