Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Na we ndo wale wale bwana usijifanye unawajua sanaa celebrities hapaaa..aliyemjua Zari baada ya Diamond nani labda?!!

Walivyoachana Zari na Ivan ulikuwepo au ndo hearsay zako hizo hizo.. Mara ngapi waliachana na kurudiana na ivan? Hebu fuatilia interview yake ya Mwisho na Sporah kwanza ..kaaah!
Hivi mtu umezaa nae watoto watatu na unajua kabisaa na una hakika anaweza simamia Mali vzr kwa nini usimpe madaraka asimamie Mali zako kama ndugu huwaamini.

Hebu pambaneni karma pia huyo Zari mwenyewe hajaolewa kashazaa 5kids with different men!

Hebu kunywa maji upunguze chuki kwa Hamisa kidogo!!

Loohh!Karma ni Karma tuuu.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sanaaaaa!shostito!

Punguzeni chuki aliyepewa kapewa dyadyaaa....simchukii Zari,Hamisa wala LuLu...riziki mafungu sababaaa!!!

Punguzeni husdaaa wadada!!

BTW Zari aliolewa wapi?!!!![emoji144] [emoji101] [emoji101] [emoji101]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…