Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

We nae kumbe wale wale tuu. Story ya Zari kumbe huijui. Eti Zari alikua ana mmistreat Ivan, lol! Ndio habari za kuokota okota. Please dont come here and write hearsays as facts. Zari and Ivan marriage ended long before Zari akutane na Diamond. Ivan alisha date wasichana kadhaa, na Zari alidate a few guys. Nyie mliomjulia Zari through Diamond ndio mmekaa kuunga unga story. Ivan mwenyewe alisha kiri kwamba alimkosea Zari sana kipindi cha ndoa including kumpiga sana. Huku mwishoni alipoona hapati mwanamke kama Zari ndio akaamua kukubali na kuwa nae in good terms. HIvi hujiulizi kama Zari alimkosea Ivan kiasi hicho Ivan angemuachia control ya mali zake? Si angeachia ndugu zake wamuangalizie mpaka watoto watakapo kua?
Embu pambaneni na karma za kulala na kuzaa na wanaume wa watu. That is why no one wants to wife Hamisa, because none of the men respect her.
Na we ndo wale wale bwana usijifanye unawajua sanaa celebrities hapaaa..aliyemjua Zari baada ya Diamond nani labda?!!

Walivyoachana Zari na Ivan ulikuwepo au ndo hearsay zako hizo hizo.. Mara ngapi waliachana na kurudiana na ivan? Hebu fuatilia interview yake ya Mwisho na Sporah kwanza ..kaaah!
Hivi mtu umezaa nae watoto watatu na unajua kabisaa na una hakika anaweza simamia Mali vzr kwa nini usimpe madaraka asimamie Mali zako kama ndugu huwaamini.

Hebu pambaneni karma pia huyo Zari mwenyewe hajaolewa kashazaa 5kids with different men!

Hebu kunywa maji upunguze chuki kwa Hamisa kidogo!!

Loohh!Karma ni Karma tuuu.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sanaaaaa!shostito!

Punguzeni chuki aliyepewa kapewa dyadyaaa....simchukii Zari,Hamisa wala LuLu...riziki mafungu sababaaa!!!

Punguzeni husdaaa wadada!!

BTW Zari aliolewa wapi?!!!![emoji144] [emoji101] [emoji101] [emoji101]
 
Back
Top Bottom