Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Esma kapewa yake anajifanya kucheka cheka unavumilia mwisho wa siku unachoka tu
Watasema wametukanwa leoUmeona eehh!kachoka na yeye kazaliwa,ila ESMA Jana amekosea mnoo kiukweli kaah!na diamond Leo kamjibu Dada ake maana kachoshwa
 
Reality TV show inahitajika hapo Wasafi TV haraka iwezekanavyo,
Watanzania mmewekeza kwenye umbea sasa leo Chibu acha aingize pesa kupitia umbea mnaopenda aweke live Wasafi TV wapate matangazo ya biashara mzigo uingie kwenye bank account wakati nyie mtabaki kwenye Instagram account mkichambana team kwa team.
Wajifunze kwa Kardashians.
 
Esma kapewa yake anajifanya kucheka cheka unavumilia mwisho wa siku unachoka tu
Anajichekesha kutafuta huruma aolewe yeye sasa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23]bora alivyoongea esma amezidi mnoo!

Yaani ile family hapana aiseeh!
 
Ndo kilichobaki hikooo!
 
hii ni business.
. wanacheza na akili za watanzania tu..

na wanajua tunapenda umbea sana... ndio wanautengeneza umbea...

zari ni business lady, hamisa nae amefundishwa vya kufanya.. na analipwa pia, wema nae analipwa pia,

esma nae anaambiwa cha kufanya.. na mama dangote pia anaambiwa cha kufanya..

mnajua kwa nini kina kardashians ni matajiri...

wasafi wanaelekea huko kwa tv reality show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…