Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Amen,usijisikie vibaya Ila ni changamoto tu nimekupa.Alikuwepo bingwa wa taarifa kama hizi humu alijiita warumi,alipotea.Nakupenda pia wala sikuchukii.Barikiwa nawe.
Umewahi soma article ya mgawanyo wa Aina 3 za watu na akili zao?
Wala siwezi jisikia vbaya

My life my rules!
Warumi ni warumi na Mimi ni Mimi...

Nimewahi kusoma ndio

Life is too short to complicate! Sometimes we need to release our stress through this!
 
Shida kanapenda kuonekanaaa ndo maana anakosa vyote......Leo hii Mimi ni sidechick wa mkubw mmoja wilayan kwetu ...ananilipia ada ya chuo na kila kitu kinachohusu maisha yangu lkn hata siku moja sijawahi kujitia kimbelembele cha kumjua hata huyo bi mkubwaaa....tunatakiwa kujua kula na vipofu
Diamond hajao bwanaa!
Halafu Mungu anakuoan Zer
 
[emoji848][emoji848]
Duuh ww ndo Bingwa wa kula na vipofu Rasmi maana
 
Diamond hajao bwanaa!
Halafu Mungu anakuoan Zer
Hanioni bhana ....me wala simsumbui bi mkubwa hata jina lake silijui na sitaki kulijua tuuu na wala huyo Mr sijawahi kumuuliza chochote kuhusu bi mkubwa .....me nnachosubir mwisho wa mwez nione text ya nmb mobile kwamba nimepokea sh ngapi basi ....hayo mengine wamalizane wenyewe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani Jamani looh!
Endelea kula shosti yangu
 
Wala siwezi jisikia vbaya

My life my rules!
Warumi ni warumi na Mimi ni Mimi...

Nimewahi kusoma ndio

Life is too short to complicate! Sometimes we need to release our stress through this!
Haya enjoy Sana.
 
Unatakiwa kua na akili ya kujiongeza ...ukianza fyokofyoko utakosa vyote mwanaume mwenyew lazima akasirike ....unakua tu mpole kwani kua mpole sh ngapi
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]ahsante mwl...
 
Tatizo la wanawake tunapenda kuonekanaaa ......huo ndo mwanzo wa kula mashauzi yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unapaswa kula tartiibu!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]

Mdogo mdogo
 
Sana tu yaani ile familia ni kiboko [emoji2] [emoji2] [emoji2] diamond hatokaa aoe akisikiliza ndugu zake!

Atapata watoto wa nje tu!

Halafu walichonichosha ni mwezi wa ramadhani wanapretend kufunga jamani

Mwezi mtukufu huu tena ni waislamu hata kama kick imezidi...!!

Ila ile familia sio ya kuolewa hata ndotoni!
Wamechoka kufanya unafki mwezi mmoja, hahaaa,,mana wafungaji wengi wanakuaga wastaarab mwezi mmoja tu
 
Back
Top Bottom