Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
- Thread starter
- #141
Wala siwezi jisikia vbayaAmen,usijisikie vibaya Ila ni changamoto tu nimekupa.Alikuwepo bingwa wa taarifa kama hizi humu alijiita warumi,alipotea.Nakupenda pia wala sikuchukii.Barikiwa nawe.
Umewahi soma article ya mgawanyo wa Aina 3 za watu na akili zao?
My life my rules!
Warumi ni warumi na Mimi ni Mimi...
Nimewahi kusoma ndio
Life is too short to complicate! Sometimes we need to release our stress through this!