Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,342
Kama kawaida jangwani maji yanapita juu ya daraja na barabara imejifunga.

Bonde la Kinondoni mkwajuni napo maji yanapita juu ya daraja, barabara imejifunga.

Bado sina picha kwa sasa.
Tuambie kinachoendelea kwenye upeo wa macho yako.
 
Mystery,
Wapiga polishi wanavituko sasa issue ya mipaka na nchi jirani imekuwa ni kuvuka kinondoni kuja magomeni,na magomeni kuja fire.

Hongera zenu wachoma mishikaki
 
jogi
Unataka kuniambia kuwa tumefunga mipaka kwa lazima?

Maana viongozi wetu wanasisitiza kuwa hawatafunga mipaka, sasa Mungu anawaonyesha kuwa yeye ni mkuu kuliko kitu chochote kile, kwa kutufungia mpaka wa Magomeni/Faya kwa lazima!
Mwenye masikio na asikie ulichokisema katikati ya ujumbe wako.
 
Mungu ameona hiyo ndiyo dawa ya kuwakingeni na Corona maana hamsikii!
 
Naelekea Buguruni kula bata, watu wa Kigogo barabara yenu yapitika?
 
Back
Top Bottom