Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

Mkuu kumbe Dar huijui vizuri.
Kuna sehemu Buguruni kuna segemu bia tatu aina ya safari buku 5, totoz buku kukakua bure. Nyama pande la kufa mtu buku 2.
Ni kweli mkuu sipafahamu vyema, si unajua nimetoka kolo mi jei hivi majuzi tu, tupeane maujanja mkuu, na mimi niwe wa mjini mjini kama nyie wataalam.
 
Ndo hivo
Screenshot_20200412-085207.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kawaida jangwani maji yanapita juu ya daraja na barabara imejifunga.

Bonde la Kinondoni mkwajuni napo maji yanapita juu ya daraja, barabara imejifunga.

Bado sina picha kwa sasa.
Tuambie kinachoendelea kwenye upeo wa macho yako.
Mvua inasaidia hasa katika swala la lock down /kizuizi chakutoka majumbani kwa wakati huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kinyerezi, makongo,wazo,Goba,Gongo la Mboto Masaki, Oyster bay, Mbagala, buza,kimara,kigamboni,Upanga, kibamba kote kupo safi ila maeneo ya. Mbezi beach,Mbweni, sinza, buguruni, kinondoni, mwananyamala, Msasani, Ulongoni, kigogo na mburahati huko hati ni tete

Sent using Jamii Forums mobile app
Temeke kwa azizi ally ...Hali ni Tete watu hawatoki nje machemba yamefunguliwa

One love
 
Back
Top Bottom