Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

Mkuu kumbe Dar huijui vizuri.
Kuna sehemu Buguruni kuna segemu bia tatu aina ya safari buku 5, totoz buku kukakua bure. Nyama pande la kufa mtu buku 2.
Ni kweli mkuu sipafahamu vyema, si unajua nimetoka kolo mi jei hivi majuzi tu, tupeane maujanja mkuu, na mimi niwe wa mjini mjini kama nyie wataalam.
 
Kama kawaida jangwani maji yanapita juu ya daraja na barabara imejifunga.

Bonde la Kinondoni mkwajuni napo maji yanapita juu ya daraja, barabara imejifunga.

Bado sina picha kwa sasa.
Tuambie kinachoendelea kwenye upeo wa macho yako.
Mvua inasaidia hasa katika swala la lock down /kizuizi chakutoka majumbani kwa wakati huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Temeke kwa azizi ally ...Hali ni Tete watu hawatoki nje machemba yamefunguliwa

One love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…