Yanayojiri Kesi ya Mbowe na Kauli tata za Serikali - Katiba Mpya ni Hitaji la Dharura sana

Hako kajamaa kwenye sufuria kamekenua meno na hako kamalaya kamevaa bikini vinanchekesha sana yani sijui,,,, huyo mchoraji ni msenge aisee

Wao wanaita kuwa wanayo dunia yote mifukoni mwao. Kwa kasi zaja siku ambazo tutabadilishana majengo.

Mshitaki atakuwa mshitakiwa.

Mbona tutaelezana waliko kina Lijenje, Ben, Azory na wote wengine? Tutaelezana nani walikuwa kwenye viroba na na nani walikuwa taratibu wa kuuwa wengine.

Sabaya anawakilisha. Yule mwingine naye anasemekana analetwa mpera mpera.

Wacha tusubiri. Yajayo yanafurahisha.
 
mzee,acha matusi,mimi niwe bashite, wakati hapa nashangilia anavyotaka kutundikwa kizimbani?

Hata mijizi ikipigiwa ukelele wa mwiziii, nayo hupiga kama huo huo kwa kwenda mbele yanavyotokomea gizani.

Hakuna jipya hapo.

Cc: babylata
 
Hata mijizi ikipigiwa ukelele wa mwiziii, nayo hupiga kama huo huo kwa kwenda mbele yanavyotokomea gizani.

Hakuna jipya hapo.

Cc: baby pllata
bashite hana akili ya kuandika haya ninayoandika chief. pia bashite sio mwanasheria kama nilivyo, peruse charts zangu utajua. kuniita mimi bashite ni tusi kubwa sana. bora ungeniita hata kingwendu tu.
 
Hukuwahi kusikia ya kwamba nyani haoni ku*dule?

Basi unapita mule mule 😁😁.
 
Simbachaweneeee....yana mwisho
 
wanasheria pro ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…