Yanayojiri kwa form6 JKT

Mungu wangu,embu washindwe,wasiwape magonjwa watoto wa watu
 
Hubakwi mtu, bali unawekewa mazingira ya kuachia mchezo - chezea kalinyekalinye na drankadoso weye!! Hilo ndilo Gesi letu.
 
Wana bakwa kweli au wao wanajilegeza wafanye kazi ngumu?,kubaka kunaendena na kuchaniana nguo!


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Siku akibakwa mkeo ama mwanao wa kike ndo utajua kweli kama wanajilegeza ama wanategea kazi ngumu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hilo kambi mbona mie niko na rafiki yangu anasema hawajaanza hayo mambo, hata mazoezi hawajaanza yale makali kwa hawajapewa uniform.
Ukitaka kukomaa komaa tu
 

Wote, kuanzia aliyeanzisha topic na wachangiaji wengi waliotoa maelezo yao ni washabiki wa ngono, wasiojua hesabu kamili ya mafunzo ya JKT. Makamanda, wapiganaji na wanafunzi waliopo JKT wapo kwa mujibu wa sheria. Kidato cha sita akitoroka hataweza kujiunga na chuo au kupata kazi ya maana na huenda akashtakiwa na kufungwa. Mkao wa makambi ya jeshi hayaruhusu kubaka na mafunzo yanaendeshwa na walimu wengi masaa 24 huku wanafunzi wakiwa wamegawanywa katika sections, platoons na campanies. Uongozi kutoka juu hupokea taarifa na habari ktk muda wote juu ya afya ya mwili na akili ya wanafunzi huku kukiwa na uhariri wa kutosha kuanzia matendo na matukio ya mtu anayeanza mafunzo (mzalendo) hadi anayezoea mafunzo ndani ya wk 6. Mapenzi yanaweza kutokea nje ya kambi baada ya wanafunzi kuanza kuruhusiwa kwenda mjini. Pia hakuna uwezo wa mwanafunzi kupiga simu siku za mwanzo kutokana na shughuli nyingi za ujenzi wa mwili wa kijeshi. Mapenzi yanapotokea huwa ya kujiachia kwa mwanafunzi kwa kutafuta unafuu na yanafanywa kwa siri kubwa kwa kuwa ni dhahiri iwapo mkufunzi akipatikana na uchafu huo hufukuzwa kazi na haki zake hupotea. Tuache kurunga.
 

Utafikiri majibu ya kule mjengoni! Make wao walishazoea siasa za kbongo (porojo) kwa kila jambo. Watu wanalalamika kila siku kwa kulazimishwa kushiriki ngono. Ni kama wajengewa maadili na ujuzi wa ngono.
 
Sijui kichaa gani aliyeamua vijana waende jkt katika zama hizi za magonjwa kibao mbona wapo vijana wengi walioshindwa maisha si wawachukue hao wa hiari?
 
watu wanakompricate mambo wakati rahisi tu...jkt haijaanza leo..mkuu umeongea kweli...mtu akibakwa kule kajitakia tu..oher factors labda kabakwa porini...lakin wanawake wanalegezq wenyewe
mdogo wangu yupo oljoro tangu wiki iliopita ni bata tu..zoezi rasmi bado...pia tusipende kukuza mbo
mtoa maada kama dada yako hataki kujiachia akaripoti ofisini..lasivyo hajawahi tongozwa ndio afande kamgusia ishara yeye jafika mbali..
LETS DISCUSS UMUHIMU WA WAO KUWA KULE..JE WATAONDOKA WATUPU AU WALIOKOMAA TU MWILI BILA AKILI?
 
Kwa akili ya kawaida tu wanajeshi walivyo wapenda ngono hata huku mtaani sasa wamepelekewa watoto wadogo hawa kwa kweli ni majanga tupu......idadi kubwa ya wanajeshi wanatabia kama za komba sasa jaribu kuwaza kama komba ndio angekuwa boss jeshini ...tusubir tuone
 
Wasiojua chochote kuhusu majeshi wana taabu sana. Let us educate them.
 

Mi nafikiri una mapungufu makubwa ya uelewa kuhusu jeshi. Ni kundi lipi halijasingiziwa ngono. Wanafunzi wa seko au vyuo? Manesi na madaktari je? Wasanii wa bongo movie na mziki? Hizo kashfa za komba haziwahusu makundi mengine yanayochapishwa global publishers na kwingineko isipokuwa wanajeshi? Wanaoonyesha utupu kwny mitandao ni wanajeshi au ni hao unaowabatiza eti wadogo? Ni ushabiki, ulimbukeni au ndiyo masuala ya nyani kutoona kundule? Watu wasiokuwa na hata ngumbaru ya jambo msiliongelee bana.
 
Jeshini wanatakiwa waende watoto wa kiume peke yake. What were these guys thinking?? wanajeshi wa bongo walivo na ukaka hivi unapeleka nyati kwenye kundi la simba... duh! Something must be done, walioenda jeshini mwaka jana sijaona walichobadilika, wako vilevile na ujinga palepale
 
 
Huwez kuzuia jua kwa ungo wanaukoganyiwa hawa watoto yapo wazi subiri wapo wachunguz binafsi wanafuatilia haya mambo watakapotoa taarifa utakimbia hapa na unavyotetea unyama wanaofanyiwa watoto
Wa
 
Kumuandaa mtoto awe mwadilifu kwa taifa ni kazi ya kumuandaa kisaikolojia akiwa shule na wala huwez kumuandaa awe mwadilifu kwa kwenda mpa kaz ngum,kumshindisha na njaa wala kuimba nyimbo ucku kucha..
tafakari chukua hatua...!!
 

Attachments

  • 1402719899351.jpg
    20.5 KB · Views: 190
Picha za komedy, kombati za jeshi la rwanda. Hakuna ofisa wa jeshi (ona rank mabegani) anayesimamia corporal punishments. Adhabu za aina hii zinasimamiwa na askari wa chini kwa maana maalum. Soma juzuu za sheria na National Defence Act.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…