Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Akiweza kutoroka atoroke jeshini ni wabakaji 100%
Vipi hili , unaweza kutoa mwanga kidogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiweza kutoroka atoroke jeshini ni wabakaji 100%
Wana bakwa kweli au wao wanajilegeza wafanye kazi ngumu?,kubaka kunaendena na kuchaniana nguo!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Nimestushwa nakusikitishwa Sana ucku Huu watoto wetu hasa wasichana wanalazmishwa ngono Na baadhi ya askari.nimepokea sim ucku Huu my sissy huko oljoro anafanyiwa visa Na askar hata anataman kutoroka Na kurud home baada ya kumtolea nje ----- mmoja askari. Nimemshauri amshtak kwa kiongoz wake then asiklizie for some dayz akiendelea natarajia niwapandie hukohuko Arusha maana naskia Wa mwaka Jana wamebakwa sana Na vjana Wa JKT.Tusaidiane vyombo husika Na wadau wengine kuweka mambo sawa.Inaumiza ngono za huko si salama Na magonjwa haya.
Wote, kuanzia aliyeanzisha topic na wachangiaji wengi waliotoa maelezo yao ni washabiki wa ngono, wasiojua hesabu kamili ya mafunzo ya JKT. Makamanda, wapiganaji na wanafunzi waliopo JKT wapo kwa mujibu wa sheria. Kidato cha sita akitoroka hataweza kujiunga na chuo au kupata kazi ya maana na huenda akashtakiwa na kufungwa. Mkao wa makambi ya jeshi hayaruhusu kubaka na mafunzo yanaendeshwa na walimu wengi masaa 24 huku wanafunzi wakiwa wamegawanywa katika sections, platoons na campanies. Uongozi kutoka juu hupokea taarifa na habari ktk muda wote juu ya afya ya mwili na akili ya wanafunzi huku kukiwa na uhariri wa kutosha kuanzia matendo na matukio ya mtu anayeanza mafunzo (mzalendo) hadi anayezoea mafunzo ndani ya wk 6. Mapenzi yanaweza kutokea nje ya kambi baada ya wanafunzi kuanza kuruhusiwa kwenda mjini. Pia hakuna uwezo wa mwanafunzi kupiga simu siku za mwanzo kutokana na shughuli nyingi za ujenzi wa mwili wa kijeshi. Mapenzi yanapotokea huwa ya kujiachia kwa mwanafunzi kwa kutafuta unafuu na yanafanywa kwa siri kubwa kwa kuwa ni dhahiri iwapo mkufunzi akipatikana na uchafu huo hufukuzwa kazi na haki zake hupotea. Tuache kurunga.
watu wanakompricate mambo wakati rahisi tu...jkt haijaanza leo..mkuu umeongea kweli...mtu akibakwa kule kajitakia tu..oher factors labda kabakwa porini...lakin wanawake wanalegezq wenyeweWote, kuanzia aliyeanzisha topic na wachangiaji wengi waliotoa maelezo yao ni washabiki wa ngono, wasiojua hesabu kamili ya mafunzo ya JKT. Makamanda, wapiganaji na wanafunzi waliopo JKT wapo kwa mujibu wa sheria. Kidato cha sita akitoroka hataweza kujiunga na chuo au kupata kazi ya maana na huenda akashtakiwa na kufungwa. Mkao wa makambi ya jeshi hayaruhusu kubaka na mafunzo yanaendeshwa na walimu wengi masaa 24 huku wanafunzi wakiwa wamegawanywa katika sections, platoons na campanies. Uongozi kutoka juu hupokea taarifa na habari ktk muda wote juu ya afya ya mwili na akili ya wanafunzi huku kukiwa na uhariri wa kutosha kuanzia matendo na matukio ya mtu anayeanza mafunzo (mzalendo) hadi anayezoea mafunzo ndani ya wk 6. Mapenzi yanaweza kutokea nje ya kambi baada ya wanafunzi kuanza kuruhusiwa kwenda mjini. Pia hakuna uwezo wa mwanafunzi kupiga simu siku za mwanzo kutokana na shughuli nyingi za ujenzi wa mwili wa kijeshi. Mapenzi yanapotokea huwa ya kujiachia kwa mwanafunzi kwa kutafuta unafuu na yanafanywa kwa siri kubwa kwa kuwa ni dhahiri iwapo mkufunzi akipatikana na uchafu huo hufukuzwa kazi na haki zake hupotea. Tuache kurunga.
Kwa akili ya kawaida tu wanajeshi walivyo wapenda ngono hata huku mtaani sasa wamepelekewa watoto wadogo hawa kwa kweli ni majanga tupu......idadi kubwa ya wanajeshi wanatabia kama za komba sasa jaribu kuwaza kama komba ndio angekuwa boss jeshini ...tusubir tuone
Wote, kuanzia aliyeanzisha topic na wachangiaji wengi waliotoa maelezo yao ni washabiki wa ngono, wasiojua hesabu kamili ya mafunzo ya JKT. Makamanda, wapiganaji na wanafunzi waliopo JKT wapo kwa mujibu wa sheria. Kidato cha sita akitoroka hataweza kujiunga na chuo au kupata kazi ya maana na huenda akashtakiwa na kufungwa. Mkao wa makambi ya jeshi hayaruhusu kubaka na mafunzo yanaendeshwa na walimu wengi masaa 24 huku wanafunzi wakiwa wamegawanywa katika sections, platoons na campany........." haya majibu ni mazuri, ila naamini Program hii ilianzishwa kwa maswala ya ki CCM zaidi
Huwez kuzuia jua kwa ungo wanaukoganyiwa hawa watoto yapo wazi subiri wapo wachunguz binafsi wanafuatilia haya mambo watakapotoa taarifa utakimbia hapa na unavyotetea unyama wanaofanyiwa watotoMi nafikiri una mapungufu makubwa ya uelewa kuhusu jeshi. Ni kundi lipi halijasingiziwa nguono. Wanafunzi wa seko au vyuo? Manesi na madaktari je? Wasanii wa bongo movie na mziki? Hizo kashfa za komba haziwahusu makundi mengine yanayochapishwa global publishers na kwingineko isipokuwa wanajeshi? Wanaoonyesha utupu kwny mitandao ni wanajeshi au ni hao unaowabatiza eti wadogo? Ni ushabiki, ulimbukeni au ndiyo masuala ya nyani kutoona kundule? Watu wasiokuwa na hata ngumbaru ya jambo msiliongelee bana.
Namhurumia mdogo wangu ndio anaingia form six