kabwigwa
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 933
- 1,540
stay put kiingereza cha wapi hicho?Ndio jamaa wamepanda ulingoni,stay put ntawajuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
stay put kiingereza cha wapi hicho?Ndio jamaa wamepanda ulingoni,stay put ntawajuza
that is not a great thinker behavior, , au bado unasoma magazeti ya udaku,acha ni Ku advice,you will be living utopially.acha kabisaaastay put kiingereza cha wapi hicho?
Ulitakiwa kumjibu simple answer kama ni kiingereza cha USA,UK au ZimbabweYou are bitching around,that is not a great thinker behavior, I thought you are a top notch thinker,but I am very embarrassed , au bado unasoma magazeti ya udaku,acha ni Ku advice,you will be living utopially.acha kabisaaa
It was sarcasim,at least that is the way the bloke sounded and it was how I perceived ,my intent was just to inform interested fellasUlitakiwa kumjibu simple answer kama ni kiingereza cha USA,UK au Zimbabwe sio kutoa makamasi
Refa kamuua!Mkuu umeona?😀😀
Hicho ndo Refa alitaka.Kazi imeisha.
AJ New record:
20 Fights
20 Wins
20 KOs
Hizi koment zenu utazani kila mtu anaangalia hilo pambano, hadi saiv sijui nani kapigwaRefa kazingua, watu tumelipia viingilio
Wanamtengeneza Joshua ili kupiga pesa ndefu huko mbeleni.....kama wanavyochukua hela za bure kwenye mapambano ya My money.Ijapokuwa A.J alikuwa anaongoza kwa point huyu refa ni mjinga kabisa na alikwenda kuchezesha akiwa tayari ameshampa ushindi A.J yani ngumi chache tuu wala hajapoteza uelekeo ama kuanguka chini lijamaa linaamua kuwa ni T.K.O ?Kama kama carlos alikuwa ame reserve energy kwa ajili ya kuua raundi ya mwisho angejuaje?
TKO Josh wins...Leta majibu pambano likiisha
A Joshua ni Mnigeria kwa Baba yake.Kumbe huyu wizkid ni msanii mkubwa sana?
Hivi ni kwa baba au mama?A Joshua ni Mnigeria kwa Baba yake.
Baba, Jana pia alikuwepo ulingoni.Hivi ni kwa baba au mama?
Uzito tofautiWanamtengeneza Joshua ili kupiga pesa ndefu huko mbeleni.....kama wanavyochukua hela za bure kwenye mapambano ya My money.
Rudia kusoma.!Uzito tofauti
Ni lugha sahihi mkuustay put kiingereza cha wapi hicho?