Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 482 Aug 22, 2010 #1 Nilitoka kuangalia mpira. Najaribu star tv nakuta kuna kampeni za CCM. Wasanii akina Flora Mbasha nao wametinga Mwanza. Sasa hivi anahutubia Bilal
Nilitoka kuangalia mpira. Najaribu star tv nakuta kuna kampeni za CCM. Wasanii akina Flora Mbasha nao wametinga Mwanza. Sasa hivi anahutubia Bilal
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 482 Aug 22, 2010 Thread starter #2 Mkwere kaanza kuchapia kisukuma
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 482 Aug 22, 2010 Thread starter #3 Jamaa anawaambia kuwa Dokii ndiye ataanza kutumbuiza
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 482 Aug 22, 2010 Thread starter #4 Kwa msaada wa serekali ya marekani ulinzi wa askari wanamaji ziwa victoria utaimarishwa. Kuanzia mwakani no more majambazi mwanza
Kwa msaada wa serekali ya marekani ulinzi wa askari wanamaji ziwa victoria utaimarishwa. Kuanzia mwakani no more majambazi mwanza
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Aug 22, 2010 #5 Wakulu JK yuko Jukwaani akiongea toka 5.50 PM. Kaelezea mafanikio katika barabara, elimu na vivuko . . . Anaendelea . . . Umati wa watu ni mkubwa kiasi. Pamoja naye namwona Msekwa na Bilali. Nyuma yuko mpambe wake mwenye uniform. Ila kuna body guard wa ziada leo kasimama nyuma yake. Kavaa kaunda suiti long sleev . . .
Wakulu JK yuko Jukwaani akiongea toka 5.50 PM. Kaelezea mafanikio katika barabara, elimu na vivuko . . . Anaendelea . . . Umati wa watu ni mkubwa kiasi. Pamoja naye namwona Msekwa na Bilali. Nyuma yuko mpambe wake mwenye uniform. Ila kuna body guard wa ziada leo kasimama nyuma yake. Kavaa kaunda suiti long sleev . . .
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Aug 22, 2010 #6 Anasema kwa upande wa barabara ukitoka saa 12 asubuhi, DSM unafika saa 12 jioni. Pia anasema ajira zimepatikana 1.3 M
Anasema kwa upande wa barabara ukitoka saa 12 asubuhi, DSM unafika saa 12 jioni. Pia anasema ajira zimepatikana 1.3 M
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Aug 22, 2010 #7 Anasema Ilani Mpya itafanya zaidi katika ajira na biashara. Pia mikopo ya mitaji itapatikana kwani mitaji imeongezwa TIB na kuwekeza katika benki ya kilimo
Anasema Ilani Mpya itafanya zaidi katika ajira na biashara. Pia mikopo ya mitaji itapatikana kwani mitaji imeongezwa TIB na kuwekeza katika benki ya kilimo
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Aug 22, 2010 #8 Anasema wameshaongea na prof. Yunusi wa Bangladeshi juu ya kuanzisha benko ndogo ndogo. Benki ya wanawake imeshaanza na bado watafanya zaidi. nafasi za wanawake ktk madaraka zimeongezeka
Anasema wameshaongea na prof. Yunusi wa Bangladeshi juu ya kuanzisha benko ndogo ndogo. Benki ya wanawake imeshaanza na bado watafanya zaidi. nafasi za wanawake ktk madaraka zimeongezeka
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Aug 22, 2010 #9 Wajaji, Wakuu wa wilaya, mawaziri ameteua wengi katika historia, Wanawake wanaweza kuliko wanaume ambao wengine ni wadokozi
Wajaji, Wakuu wa wilaya, mawaziri ameteua wengi katika historia, Wanawake wanaweza kuliko wanaume ambao wengine ni wadokozi
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 Aug 22, 2010 #10 Mimi naangalia atakavyo anguka...
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Aug 22, 2010 #11 Anatoa mfano jinsi alipokuwa mbunge wanaume walivyoshindwa kusimamia mashine za vikundi
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Aug 22, 2010 #12 Anadai katika Kilimo sasa hivi watatengenga pesa zaidi katika kilimo. Kuna ziada zaidi ya chakula
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 Aug 22, 2010 #13 Naona leo kuna mlinzi wake na njemba nyingine iliyoshiba tayari kwa kumpokea akidondoka...
Mlalahoi JF-Expert Member Joined Aug 31, 2006 Posts 2,182 Reaction score 885 Aug 22, 2010 #14 Wewe ndio macho yetu na masikio yetu.Tunakusoma Mkuu
Freetown JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 882 Reaction score 78 Aug 22, 2010 #15 Eeka Mangi said: Kwa msaada wa serekali ya marekani ulinzi wa askari wanamaji ziwa victoria utaimarishwa. Kuanzia mwakani no more majambazi mwanza Click to expand... Kazi kweli kweli, ulinzi msaada toka Marekani,
Eeka Mangi said: Kwa msaada wa serekali ya marekani ulinzi wa askari wanamaji ziwa victoria utaimarishwa. Kuanzia mwakani no more majambazi mwanza Click to expand... Kazi kweli kweli, ulinzi msaada toka Marekani,
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Aug 22, 2010 #16 Ruzuku imetolewa kwa wakulima wa pamba. matokeo yataonekana. Amefufua vyama vya ushirika kwa kuwakopesha. Wezi wasiruhusiwe kuwa viongozi wa vyama
Ruzuku imetolewa kwa wakulima wa pamba. matokeo yataonekana. Amefufua vyama vya ushirika kwa kuwakopesha. Wezi wasiruhusiwe kuwa viongozi wa vyama
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Aug 22, 2010 #17 Deni la Ushirika la Billioni 5 atawasaidia (??? PCCB please . . . . haaa haaa joke)
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Aug 22, 2010 #18 Kilimo . . . tutoke jembe la mkono twende kwenye matrekta. serikali imejizuia kununua magari for 2 years. Matrkta 3000 yameagizwa
Kilimo . . . tutoke jembe la mkono twende kwenye matrekta. serikali imejizuia kununua magari for 2 years. Matrkta 3000 yameagizwa
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 Aug 22, 2010 #19 Anasema nyanza imefirisika kwa sababu ya wezi hawa wezi walitoka wapi...anasema atawasaidi kulipa madeni daaaah yaani wezi uwasaidi kulipa deni kwanini usiwafunge....
Anasema nyanza imefirisika kwa sababu ya wezi hawa wezi walitoka wapi...anasema atawasaidi kulipa madeni daaaah yaani wezi uwasaidi kulipa deni kwanini usiwafunge....
Superman JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,702 Aug 22, 2010 #20 Kauli mbiu ya Kilimo Kwanza imeanzishwa . . . mbegu bora, pembejeo, masoko nk