Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kapelekewa ki-sms anaambiwa muda umeisha....
Wapi hebu mpe nusu saa kama haja pinduka..Kidume kipo fit naona wakwere wameshamtengeneza vyema kwa mapambano!
Ni maneno tu hata kwenye kanga yapo!............................................. no more majambazi mwanza.............
Anasema kwa upande wa barabara ukitoka saa 12 asubuhi, DSM unafika saa 12 jioni.
Pia anasema ajira zimepatikana 1.3 M
kwani bado anafunga...Haaa haaa saa ya futari au ya deadline ya IGP Mwema imefika?
Zipi? Bila mchanganuo atudanganya huyo!.......ajira zimepatikana 1.3 M
Hii nimeipenda!Anawaponda tena wafanyakazi