Elections 2010 Yanayojiri kwenye kampeni za CCM Mwanza

Namwona Kinana na Dialo wanaongea

Msafara wa JK unaondoka
 
waswahili tunasema kizuri cha jiuza, kibaya cha jitembeza, kama amefanya hayo maendeleo na kutenda haki katika kupigana na rushwa (epa, madini, richmond, nk) yanini kutumia billioni hamsini ili ccm ichaguliwe tena? sio kwamba nguo ya chama ni chafu saana hivyo wanahitaji kuifua saana ili itakate au mado doa yapungue.
na pia hizo billioni 50 watazirudisha vipi? au ikulu kuna biashara gani mpaka wawekeze kiasi hicho cha pesa.
 
Asante sana Superman na Eeka Mangi kwa update zenu, Ngoja niwagongee sanks hapo juu. Kesho yuko wapi?
 
Hatutakubali kuchagua mgonjwa..... tena wa kichwa kinachobeba akili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Thanx alot Guys...I thought katika kampeni zake hizi ataongelea jinsi atakavyomaliza maswala ya Dee Green, Meremeta na KAGODA.....Tutawaona wahusika mahakamani kabla ya Uchaguzi.....

Thanx for reporting tena na tena.....Sio mbaya kama tutajua yanayojiri kwa SLAA na LIPUMBA na ahadi zao pia..........

Ramadhan Kareem
 
Tumpe kura za ndiyo,hao chadema wanaanzia kwenye maendeleo ya ccm. Hawana cha kutueleza walichokichangia kwenye kuendeleza jamii zaidi ya kuba documents
 
Join date Sunday August 2010.Bring them on!
 
Bibi yako alivyokusifu kuwa una akili sana, amini amini nakuambia kuwa alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Tumpe kura za ndiyo,hao chadema wanaanzia kwenye maendeleo ya ccm. Hawana cha kutueleza walichokichangia kwenye kuendeleza jamii zaidi ya kuba documents
 
Tumpe kura za ndiyo,hao chadema wanaanzia kwenye maendeleo ya ccm. Hawana cha kutueleza walichokichangia kwenye kuendeleza jamii zaidi ya kuba documents

Na hao CCM walioanzia 1977 wana kipi cha kukuambia zaidi ya mafanikio yao ktk kuzalisha wafuata upepo?Watu wazima wanaoshangilia wizi wa raslimali zao!
 
naona mkuu sasa hivi akisimaa kunakuwa na mtu wa ziada nyuma zaidi ya bodyguard. kweli jangwani imeleta mambo
 
Anasema kwa upande wa barabara ukitoka saa 12 asubuhi, DSM unafika saa 12 jioni.

Pia anasema ajira zimepatikana 1.3 M

Ajira kwa wahindi au wamachinga watembeza nguo/ na matunda mitaani au
 
Deni la Ushirika la Billioni 5 atawasaidia (??? PCCB please . . . . haaa haaa joke)

kweli Rais tunaye..hkhaaaaa mi sijaelewa anaposema atalipa 5bilioni!!!! nimecheka aliposema kaanzisha master studio ya wasanii wa bongo fleva na kwake hayao ni mafanikio.....pole tanzania pole watanzania.This is ridiculous
 
Hatutakubali kuchagua mgonjwa..... tena wa kichwa kinachobeba akili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hivi hakumbuki mwezie Omar Bongo alikufaje....kifupi ni kuwa JK hana afya na uwezo wa kiafya kuendelea kushika madaraka ya nchi kama rais
 
kweli Rais tunaye..hkhaaaaa mi sijaelewa anaposema atalipa 5bilioni!!!! nimecheka aliposema kaanzisha master studio ya wasanii wa bongo fleva na kwake hayao ni mafanikio.....pole tanzania pole watanzania.This is ridiculous

.
Ujinga na umaskini wa watanzania ndio mtaji wa Jk na ccm!
 
Naona Da Vicky anawaka waka! Hapo bado hajwa mkuu wa wilaya....sorry Mbunge!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…