Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Yaani ndio mwanangu anarudi ananiambia amefanyiwa hiko kitendo aloo hata kama mwalimu anasingiziwa mahakama itakua ndogo kesi kubwa huu ni ukatili uliopitilizaWazazi wanatakiwa walipe visasi kwa walimu au watu wanaowafanyia unyanyasaji watoto wao.
Iruhusiwe kisheria.
Mambumbumbu hayo DIVISHENI FOO.Sasa mtoto kama huyo atakuwa amefanya kosa gani mpaka anapewa adhabu kama hiyo kisa kapata 1/10 au
Na pembeni kule wamekaa wengine wanacheka tu kama ni jambo la kawaida linalotendeka [emoji706] kuna watu ni matakataka
Tokea aanze kuchapa hivyo wametoa div 1 ngapiMambumbumbu hayo DIVISHENI FOO.
Hakika ningekuwa na mamlaka ningewashughulikia kwa mapana na marefu.
Fundisha rudi nyumbani.Kuna matoto yamekubuhu kweli kweli, yametoka kwenye familia za malezi ya hovyo hovyo, yamejifunza mambo tofauti na umri wao, wanasumbua na huharibu wenzao waliotoka kwenye familia Bora. Wakiachwa Taifa litaangamia. Mwalimu lazima saa nyingine ajivike mabomu kwa maslahi mapana ya nchi
Acha ukichaa kabisaaKuna matoto yamekubuhu kweli kweli, yametoka kwenye familia za malezi ya hovyo hovyo, yamejifunza mambo tofauti na umri wao, wanasumbua na huharibu wenzao waliotoka kwenye familia Bora. Wakiachwa Taifa litaangamia. Mwalimu lazima saa nyingine ajivike mabomu kwa maslahi mapana ya nchi
Kama mwanao nilisugu wakwetu hawawezi kupigwa ivyo adhabu zipo na sheri mahali pakuchapa panajulikana kwaiyo ww unaona anapo chapa ni sahihi??????Kwani kamuua, kuna vitu vya msingi vya kushadadia na sio hizo mambo za maskuli mnapigwa kodi zenu na viongozi wa juu mpo kimya ila upuuzi ndo mnaupazia sauti
Daaah ni kweli mkuu. Ila mara nyingi haya mambo yanafanyika shule ambazo zipo ndani ndani kidogo. sijawahi sikia dar matukio kama haya mkuu au yapo?haya ndio mambo yanayochangia watoto kukataa shule
Haikua sahihi pia na Sio sahihi walimu tuache ukatiliAcheni kukuza mambo,mbona ni adhabu ya kawaida hyo,sijaona cha ajabu hapo labda kama wengi wenu humu mmesomea international school ndo mtashangaa haya
Shida ya walimu tunaona kama wanafunzi ni maadui zetu kumbe Sio kweli,mi ndo wanafunzi wakipiga mwalimu naona kawaida tuYale anayoyasema mpwayungu village naanza kuona picha. Hizi ni stress kutokana na mambo ayasemayo mpwayungu.
Kuwa mwalimu Kama hiko kitu kinawezekana uone, mwalimu ana wajibu wa kitaaluma na nidhamu pia hio ni wajibi na lazima Hapo kwenye nidhamu Sasa nakwambia jaribu kuomba nafasi ya kuwa mwalimu hata kwa miezi mitatu then uwone sawa na useme wewe una wajibu wa nidhamu ya watoto wako eti huwezii wakiza tu watoto mpaka wanakua bila hata kuwafanya chochote impossible impossibleHv Mwalimu ukikausha ukawa unafundisha zako ukimaliza unaendelea na mishe zako utapungua nini?
Yapo kote mpk Dar sema Sio kiwango kikubwa ,walimu wengi tuna shida na tunapenda sana sifa tunadhani kuchapa ndo kufunzaDaaah ni kweli mkuu. Ila mara nyingi haya mambo yanafanyika shule ambazo zipo ndani ndani kidogo. sijawahi sikia dar matukio kama haya mkuu au yapo?
Hayo mamlaka mkuu wa shule anayatoa wapi? Tatizo ni kupewa vyeo kwa kuhonga ila kichwani hamna kitu.Yapo kote mpk Dar sema Sio kiwango kikubwa ,walimu wengi tuna shida na tunapenda sana sifa tunadhani kuchapa ndo kufunza
Vijijini Huko Hali ni mbaya sana kwanza wakuu wa Shule wanajiona wao exceptional hawaguswi wanaanzisha masheria ya hovyo mashulenu watoto wanafukuzwa Shule kirahisi TU
Hapa Dodoma Shule Fulani siku ya mtihani wa darasa la 7 mkuu wa Shule kafukuza watoto wasifanye necta kisa hawajaja Shule wiki Moja TU,mpk wanafuni wenzao wakawa wanalalamika yaani wiki Moja mwl mkuu kafukuza wasifanye mtihani na anajua wazazi au walezi hawana uwezo wa kufatilia ipasavyo kutafuta hakiza watoto wao
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app