Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
nidhamu ninawahusuje wanasiasa? labda ungesema wazaziNidhamu ya shule ikiwa mbovu wanasiasa watakuvamia tena.
Kimsingi walimu hawapui wakisimama nchale wakichuchuma nchale, wakikikimbia nchale, wakilala nchale.
Wanasiasa wakisikia tu mwalimu Fulani kazingua wako fasta kwenda chukua credit.
Hasira zao ,stress zao wanawahamishia wanafunziSintoweza kuangalia video inayotia hasira wahuni kama hao adhabu zao zinatakiwa ziwe kubwa sana...ili iwe Fundisho kwa wahuni wengine wakatili kwa Watoto.
Yap inaumiza sana kwa kweli dogo kupigwa kama ngoma..Hasira zao ,stress zao wanawahamishia wanafunzi
Wakati wetu tuko shule ujinga kama huu ukikutokea kungechimbika
Ova
StressHii wiki nimekuwa nazurula kwenye mashule kwa michakato ya kazi zangu .Tunajaribu kuwafahamisha nini cha kufanya na nini wasifanye .Nimekutana na watu wazuri sana ,sijui wanakumbwa na vitu gani lakini wengi niliokutana nao watoto kwa walimu watu safi sana.Tuache ukatili kwa watoto mambo yakigeuka rangi zote utaziona vizuri.
Masikini.
Na wew pia umeona...tunavyo tumia technologies zao.....hapa bila technologies hili tukio lisinge gundulika...... Asante Kwa kutuletea technologies....🌝🌝Umeona watoto wanavyowajibu hovyo na kuwatukana walimu huko ulaya?!
Wakati nasoma sangu sec form 1Yap inaumiza sana kwa kweli dogo kupigwa kama ngoma..
Sangu nimepiga Advance kule Soweto nilipaona pana dogo mmoja mtukutu Kambasonic wa mtaani alikua anapaongelea sana hapo na wakija Club Mount Livingstone akipiga mkwara Tura yeyote anamwambia atamvizia Soweto...Sangu ilikua na watu sana nimepita pale enzi za Mwalimu Bukuku Mtaalamu wa Uchumi..baada ya Mwalimu Mwakyulu Marehemu...RIPWakati nasoma sangu sec form 1
Nlikutana na kipondo hapo shule
Kuna sehemu shuleni wanapaita soweto, nlipelekwa pale nkalazwa chini kila mwalimu akipita ni bakora
Kuna mwalimu mmja alikuwa mkuda
Anaitwa kasebele na kabigi
Hao nkiwakariri
Nlikuja mtafuta mwalim nje ya shule
Nlichomfanya alijuta kunipiga
Nlafukuzwq shule hiyo
Nkaenda St Anton naye wakat wa bro masabo pale napo kuna mwalim alinizingua,nami nkaja mzingua nkafukuzwaaa tena
Primary school nko mbuyuni kuna mwalimu alikuwa anaitwa omary ah nishashikatana naye sana mashati
Mpk nikawa nampiga biti namwambia poa tutakutana mtaani
Mm suala la kuonewa kwangu huwa ni mwiko ilikuwa
Ova
Hapo wameitikia tu nduguu yangu I know my fellow teachers kichapo kinaendelea kama kawaHii wiki nimekuwa nazurula kwenye mashule kwa michakato ya kazi zangu .Tunajaribu kuwafahamisha nini cha kufanya na nini wasifanye .Nimekutana na watu wazuri sana ,sijui wanakumbwa na vitu gani lakini wengi niliokutana nao watoto kwa walimu watu safi sana.Tuache ukatili kwa watoto mambo yakigeuka rangi zote utaziona vizuri.
Wazazi wq kimaskini wanyonge sana na vijijini walimu wanaogopwaNingekuwa mzazi wa huyo mtoto ningeenda shule nimkamate mwalimu nimchape kama anavyomchapa huyo mtoto, tena ningemchapa mbele ya walimu wenzake. Ningemchapa mpaka ajikojolee.
Huyo mkuu wa mkoa aliwahi kuwalamba mboko wanafunzi kule mbeya akiwa mkuu wa mkoa huo. Kwa kuwa jinai haifi ni vizuri polisi wamweke ndani na kumfungulia mashitaka kama huyo mwalimu.Tafadhali ni nani anayejua hii shule?
====
UPDATES: 1
Kwa mujibu wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalumu Dorothy Gwajima, Serikali imefanya ufuatiliaji wa kina na kubaini kuwa tukio hili lilitokea Januari 10, 2023 kwenye Shule moja ya Msingi iliyopo Wilayani Kyerwa, Kagera.
Akithibitisha hayo kupitia Akaunti yake rasmi ya Mtandao wa Instagram, Waziri Gwajima amesema kuwa hali ipo kwenye udhibiti mzuri (Situation is under control) na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Albert Chalamila atatoa taarifa inayohusu tukio hilo Januari 25, 2023.
Waziri Gwajima amelaani tukio hilo na amewaasa walimu kuzingatia utaratibu wa adhabu wanazotoa kwa wanafunzi, pia amewataka kuheshimu sheria kwani Hatua kali zitachukuliwa kwa wale watakaofanya aina hii ya ukatili.
View attachment 2494390
UPDATES: 2
Mwalimu aliyeonekana akimuadhibu mwanafunzi kinyume na taratibu, akimchapa kwenye nyayo za miguu, amesimamishwa na kutenguliwa Kwa nafasi yake kama Mwalimu mkuu. Pia, ameshaandikiwa Mashtaka kwa Mamlaka ya TSC ili akajibu tuhuma zinazomkabili.
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda amesema hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mwalimu huyo.
UPDATES: 3
View attachment 2494822
Mtuhumiwa yupo ndani, Mkuu wa Mkoa ameshafika hospitalini kumuona mtoto na Jeshi la Polisi linaendelea na hatua zake.
Kuna SoMo la measurements & evaluation.....Corporal Punishment.
Educational psychology hakuizingatis mwalimu.
By the way Kuna mambo ya kuyaacha kama yalivyo sometime ukijifanga ngangari sijui kindakindaki unakutana na visanga na misala kama hio.
Ticha hatotoka salama wanasiasa watamfanya asusa.
Sawa Ticha.Mchukue mwanao mzee Kaa nae home atasoma huko huko[emoji1787]